Namna ambavyo kupiga punyeto kunavyokuunganisha na ulimwengu wa kuzimu na kuleta laana ndani yako, hakika upo karibu na majini wadamu.
Wengi hutazama tendo la ngono kama furaha ya kimwili, lakini tumeshaona ni tendo la kiroho linalohusisha sehemu tatu za mwanadamu.
Roho, Mwili, Nafsi
Roho ndio inayoamua kama iungane na roho nyingine ili kukamilisha uumbaji, ikikubaliana na mwenzake nafsi huungana kuwa kitu kimoja kisha mwili huungana na mwili mwingine kukamilisha tendo hilo kwa nje.
Baadaye nitaelezea kwa kina kipengele hiki muhimu ili kujua uhusiano wa roho mwili na nafsi katika nguvu ya mapenzi.
Kwa hiyo tendo la ngono huamshwa rohoni, kisha kukamilika kwa muungano wa nafsi, ndipo watu wanaona ushuhuda wa mwili kuwa watu fulani wanapendana.
Mungu aliumba mtu mke na mtu mume, hao ndio wanaokamilishana.
Kwamba aliumbwa mwanamume kwanza kisha akagawanywa kupata mwanamke, kwa hiyo ili huyu mtu awe kamili, ni lazima awe na opposite sex wa kumkamilisha.
Breaking: Hon. Tundu Lissu has been arrested a little while ago in Mbinga, Songea. Mr. Lissu was arrested after addressing a public rally. Officer Commanding District (OCD) led the operation. Until now, it is unknown under what grounds Mr. Lissu has been arrested.
Admin.
BREAKING: Tundu Lissu apigwa mabomu Mbinga. Amekamtwa na polis jioni hii na kupelekwa kituo cha polis Mbinga. Operesheni hii imeendeshwa na OCD, Mbinga.
Breaking News
Jeshi la Polisi Wilaya Mbinga wamevumia na kufanya Vurugu Mkutano Wa Mwenyekiti wa Chama Taifa Mh Lissu,wanapiga mabomu huku wakilazimisha kumkamata Mh Lissu kwa nguvu.
Here we go ✊🏽
#FreeTunduLissu
The chair of @ChademaTz has been brutally and illegally detained by police in Mbinga this evening after holding a rally
We need everyone to tell @SuluhuSamia to stop repression
Mawazo ni uhalisia
Mawazo ni uhalisia unaosubiri muda fulani na space kufika na uhalisia huo kuonekana katika ulimwengu wako.
Kinachofanya uone mawazo sio uhalisia ni muda.
Kama kungekuwa hakuna kipindi fulani cha wakati baina ya kilichopo akilini mwako na uhalisia wako ungeona ni kitu kimoja. Lakini kutokana na muda unaona ni viwili tofauti na unaweza ukabisha.
Inahitaji umakini wa kijitambua, kujichunguza na kuwa mvumilivu muda ufikapo utaona uhalisia wake.
Leo hii unaweza ukawa ulishasahau experience hii kama uliwahi kuiwaza, au labda uliwahi kuamini hivi, n.k na vyote hivi vinakujengea ulimwengu na experience hii ya sasa.
Huku ukiwa umeshasahau kama experience hii ilikwepo katika ufahamu wako au kulikwepo na uhalisia huu lakini hukuweka umakini kutambua.
Kama unakumbuka kanuni ya kwanza "Kila tendo lina matunda yake/ Cause and Effect/ Kila jambo lina chanzo chake".
Chanzo hakina tofauti na tokeo, Ukipanda maembe utavuna maembe kwani chanzo hakina tofauti na matokeo. Tofauti inaweza kuwepo kwenye hali au vitu lakini usawa ni lazima utakwepo.
Watekaji @tanpol wakiwa na mimi njiani kuenda ARUSHA walinidanganya wananipeleka MALAWI.
Nilikuja kujua wale watu wamepitia page yangu ya FACE BOOK kama Source ya taarifa kunihusu mimi.
Kule napost matukio yangu kwa picha, nakumbuka wakati naenda ZAMBIA kule picha zipo nikiwa ZAMBIA.
Walichojichanganya walijisahau kama nilienda “ZAMBIA” wakasema nilienda MALAWI na kuna uhalifu nimefanya huko nimekimbilia TANZANIA.
Kwahiyo kama wangesema ZAMBIA ningedata sana, ila nilipoona wanaongelea MALAWI nikajua HIZI KENGE zimejichanganya. Ikapelekea niwe makini sana na ninakopeleka, hii attention kichwani mwangu ndio ikanifanya nijue nipo ARUSHA asubuhi yake.
Kingine kilichonifanya nijue taarifa zangu SOURCE ni facebook, yule MTEKAJI aliekaa na mimi, alikuwa na wasi wasi sana mwanzo, alikuwa anajua nipo FIT, na alisema nimeona picha zako ukiwa UNAFANYA MAZOEZI.
Na kweli Page yangu ya FACEBOOK imejaa mapicha ya Matizi kipindi nipo FITI, haya mavideo ya KURUKA SOTI, kupiga mipushup ipo ya kushato.😁🫵🏾
Wakajua hawajateka KIAZI. Kinaweza kuwachenjia muda wowote, kumbe hamna kazi. Wakati huo mm ndio nilikuwa na wenge mbaya.
Thanks God leo nipo HAI, nitaishi nikisimulia haya mpaka NAKUFA.🫡🙇🏾♂️
SATIVA17
Yas Happy Hour⏰
Kuanzia sasa mpaka saa nane mchana wa leo, kila follower wetu ambaye atanunua bando la intaneti , sisi tutakupa mara mbili yake.🤩🔥
Cha kufanya;
1. Post screenshot ya bando lako ulionunua ndani ya muda huu tajwa
2. Tutag na weka #YasHappyHour#NiWakatiWetu
Leo ni leo! @TunduALissu anatinga mahakamani kufuatilia kesi ya Dr Slaa! Madhulmat mmemshikilia mzee wa watu kwa kucheza danadana na haki yake! Mwachieni mara moja!
Solidarity ✊🏽
@judiciarytz do the right thing and grant Dr Wilbrod Slaa his rightful bail!
#FreeDrSlaa#Tanzania
Advocate Tundu Antipas Lissu 🔥 mahakamani!
Ila Lissu anajua kutupa raha! 😁 Hii mshikemshike anaiweza kweli!
Tundu Lissu has put on his legal hat and now is representing Dr Slaa in one of the most important cases that reflects the repression in #Tanzania
Background: Dr Slaa a former ambassador, former Presidential candidate for CHADEMA and former Secretary General of CHADEMA was detained on 10 January after midnight and has been held arbitrarily on cybercrime (read criticizng @SuluhuSamia online) charges. The court has been dragging its feet on his bail!
Today #FreeDrSlaa ASAP!
LUHAGA MPINA UPDATES.🚨
Alianza kuongea saa 12 jioni mpaka sasa ni saa 4 usiku (Masaa matano) non STOP, anaendelea na press yake pale JAMBO TV.
Nadhani hii ni REKODI ya kipekee anaiweka MPINA leo
Lissu assumes office with message of hope!, ‘’I will stand for justice and fairness’’
''We will not sideline anyone. We will work together and ensure everyone gets justice'' https://t.co/S7MWOGGqPq
WANAJESHI WETU WANAHITAJI KUWA AIRLIFTED HARAKA!
Kuna taarifa kutoka wanajeshi wa Tanzania ambao kwa sasa wako uwanja wa ndege wa Goma. Wako nchini DRC chini ya mission ya amani ya SADC ijulikanayo kama Southern African Development Community (SADC) Mission in the Democratic Republic of Congo (SAMIDRC) tokea mwaka 2023.
Baada ya M23 kuchukua mji wa Goma siku kadhaa zilizopita, wanajeshi wa peacekeeping waliweka silaha chini kama ilivyoamuliwa na MONUSCO (Umoja wa Mataifa).
Wanajeshi wetu ambao tumefanikiwa baadhi kuwasiliana nao wamesema sasa ni zaidi ya masaa 48 hawajapata majibu kupitia wakubwa wao on the ground ambao ni kutoka South Africa wala neno kutoka Tanzania. Wapo hapo airport tu!
Sasa Waziri @DrTaxs we ulikuwa hapo SADC ifanyie kazi maana haiwezekani vijana wetu wamekosa hata wakumgeukia huko Goma wamehangaika kutufikishia taarifa tuwapazie sauti! Seriously?
Leave Noone behind! Achaneni na mavikao kwenye viyoyozi ingieni field kuwarudisha!
CDF fanya jambo - tunawaaminia JWTZ 👊🏽- acha wanasiasa waendelee na ma conference call! Vijana wasitelekezwe huko ukizingatia technically kwa sasa ni kama mateka wa M23! Ni hatari sana!
#TutaelewanaTu
"Lissu siyo saizi yako" - @HecheJohn to Stephen Wassira
Heche kamaliza habari - @TunduALissu atachapa spana za mwenyekiti mwenzake! Hawa wengine wajibiwe kwa level zao!
😂😂😂
Leo madhulmat wanalala na viatu!
#TutaelewanaTu
Lissu huwa anaongea na sisi wananchi kama watu wazima na timamu 😁anatushawishi na anatujengea hoja. Hata ukimwuliza swali la kiboya anakwambia "swali zuri" 🤣
Siyo wale wenzetu wanatufokeafokea kama Mzee Wasira juzi! 🙄
Na hawa Gen Z ndo hawataki kabisa kufokewa mwaka huu wanalo! 🤣
#TutaelewanaTu