Tanzania Home Economics Organization. Envisions a society which is well educated, improved living standards, sufficient in food and with a strong economic base.
Building a better future, one home at a time! We're empowering communities by providing sustainable and affordable housing solutions that improve living conditions and foster growth. Watch how social rural housing is changing lives in Ilemela, Buchosa and Sengerema!
โKatika siku hizi 16 za kupinga #Ukatili wa #Kijinsia.
Kaulimbiu; kuelekea miaka +30 ya Beijing: Tuungane kumaliza ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto.
@taheamwanza tumeanza awamu ya kwanza ya mafunzo katika Kata ya Buhunda Wilaya ya @ded_misungwidc kwa wasichana waliokatisha masomo kutokana na ujauzito ili kuwapa usaidizi wa kisaikolojia na kijamii (psychosocial support) na kiuchumi ili kuamsha na kuziendea tena ndoto zao.
#happynyerereday๐น๐ฟ
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi wote wa @tahea_mwanza tunawatakia Maadhimisho Mema ya kumbukizi ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwl. Julius K. Nyerere.
#nyerereday๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
@tahea_mwanza @rs_mwanza @ilemelamc_
Members of Buhunda Village in Misungwi District participating in construction activities for the Community Based Child Care Centre.
Open the link below to see the video
https://t.co/4aMqZ8Ll51
@tahea_mwanza tuna tekeleza moja kati ya Maeneo Makuu Manne ya Mabadiliko ya Programu Jumuishi ya Taifa ya #MMMAM kwa kuwajengea uwezo wazazi, walezi, familia na jamii ili waelewe na kuchukua hatua stahiki katika utoaji wa huduma bora za malezi jumuishi kwa watoto wa miaka 0-8.
TAHEA Mwanza @MwanzaTahea inatoa mafunzo kwa washiriki 60 kutoka Vitongoji 6 vya Kijiji cha Buhunda Wilaya ya Misungwi kuhusu Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto. Mafunzo haya yatawawezesha kuongeza uelewa na kuboresha malezi kwa watoto wao.
Today we had another great day with the Apex Housing Association visiting Isela, Lukelege and Mamaye Pre-Primary Schools in Misungwi District to see the project outcomes. During implementation they supported construction of 16 classrooms. @ChildreninXfire@MwanzaTahea