@ByCardoJason Sio kwamba wanashindwa kupata information za mechi kipindi inachezwa, lakini mechi ikiisha utakutana na matokeo ya hiyo mechi kwenye betting slip yako.
@RevocatusMagum1 Mbona kama ni mechi hii pekeee ndio ilichezwa kwa fainali moja huko nyuma fainali zilikua ni mechi za nyumbani na ugenini kama kawaida
@abissay_stephen Ila Coastal kwenye mechi zao za hivi karibuni wanacheza kwa intensity hiyo hiyo kama waliyocheza nayo jana na nadio wakafanikiwa kuwatoa Singida BS kwenye Azam Federation.