Disagreement is inevitable, but disrespect is unacceptable. What are you doing today to approach others who complement your perspective, rather than confirm it, and let them know you value them?🤗
@joelkamwaga@Realbathorlh_ Acha ujinga ww kwa hiyo akiambiwa akambaka mama yake anaweza kutii amri? Au akuuwe ww kwa amri utaona ni sawa,hivi kwanin mumefikia kwny unyumbu huu? Mtaacha lini kuwa na akili kama za mzoga?🚮
‼️🚨MUST READ: TANZANIA FUEL SCANDAL LOADING‼️
“Seen by Africa Intelligence, eight of the 20 public contracts awarded this month by the PBPA for the period of September to December 2026 went to Emirati trader Namaro Energy. In just a few months, the company has become one of the main players in a market that had until then been highly competitive: in previous PBPA tenders, it had won only one of the six deliveries scheduled for last March, one of the eight for February, and one of the eleven for January. Those tenders were open”
The company Namaro is linked to govt - officials and family
Africa Intelligence imethibitisha mikataba minane kati ya 20 ya umma iliyotolewa mwezi huu na PBPA kwa kipindi cha Septemba hadi Desemba 2026 ilienda kwa mfanyabiashara wa Emirati Namaro Energy. Katika miezi michache tu, kampuni hiyo imekuwa mmoja wa wadau wakuu katika soko ambalo hadi wakati huo lilikuwa na ushindani mkubwa: katika zabuni za awali za PBPA, ilikuwa imeshinda moja tu kati ya mikataba sita iliyopangwa kufanyika Machi iliyopita, moja kati ya minane ya Februari, na moja kati ya kumi na moja ya Januari. Zabuni hizo zilikuwa wazi.
Mpeni maua yake @HecheJohn na @rose_mayemba kwa kusimamia kidete hii skendo ya ufisadi!
Hapo kuna mradi wa familia hizi za kifisadi na tutawafukunyua WOTE!
Read:
https://t.co/GysaFT5MGg
Agenda ya kufunika wizi mkubwa kwenye sketa ya mafuta.. Watanzania msikubali.
Tunataka kujua kwanini Vitol ametuuzia mafuta kwa usd 260 sawa sh 689,000.
Wakati huo huo anawauzia Uganda mafuta hayo hayo kwa USD 83 sawa na sh 212,000
Msumbiji usd 90 sawa na 238,500.
Hawa watu wanaoitwa NAMARO na TPDC wamehusikaje kwenye huu ufisadi wa kufilisi Nchi.
Huu ni uhujumu uchumi mkubwa kuwahi kutokea katika Nchi hii.
Kuna zaidi ya 1.2 trilioni imeibiwa katika mafuta.
Katibu mkuu wa Nishati bwana Mataragio alisema tuna mafuta ya kutumia miezi mitatu.
Watanzania tusikubali huu wizi.
Utawala usiofuata sheria unafundisha watu kudai haki kwa nguvu…
Huyu mwalimu anafundisha Course ya PS 123: Government and Politics in Tanzania
Dola dhalimu wanamtishia, asitimize wajibu wake wa kufundisha kwa kutoa mifano halisi ya nchini kwetu. Sasa wanaingia mpaka madarasani wanapangia walimu nini wafundishe.
Sheria za Nchi yetu ziko wazi, huwezi kumshikilia mtu kituo cha polisi kwa zaidi ya masaa 24, kama itakua zaidi ya masaa 24 basi isiwe zaidi ya masaa 48 bila mkuu wa kituo kuomba ruhusa ya mahakama.
Leo ni jambo la kawaida watu wanashikiliwa kwenye vituo vya polisi na mahabusu za polisi kwa miezi 6, 3 nawengine hata 8.
Kuna watu wanapigwa na wanakua walemavu na wanaendelea kushikiliwa.
Hivi tunavyozungumza kuna vijana wa Chaso Mbeya walikamatwa na wanashikiliwa tangu tarehe 4/7 wengine wamepigwa vibaya na kuumizwa.
Mimi nilishikiliwa kwa zaidi ya siku 21 kwenye mahabusu ya polisi nikiwa nalala kwenye sakafu.
Huu utawala dhalimu unafundisha Wananchi kwamba Nchi hii hakuna sheria ni kila mtu kujitetea.
Kwa njia kama hizi nani ataheshimu mahakama za Tanzania, wanatumia Mahakama pale tu wanapoona inaweza kuwapa kile wanachokitaka… Huyu ni mhadhili wa chuo anafanyiwa hivi, mahakama inaona jambo kama hili ambalo polisi tangia mwanzo hawakufuata sheria.
Watanzania tuungane wote, tuchangie na tujenge taasisi itakayoondoa uhuni huu kwenye Nchi yetu.
‼️MHADHIRI CHUO KIKUU ANYIMWA DHAMANA KWA TUHUMA ZA MAANDAMANO!‼️
Kama wewe ni mhadhiri wa Idara ya Political Sciences katika Chuo Kikuu chochote Tanzania iwe unajadili na wanafunzi juu ya matukio au mambo ya siasa za nchi nyingine tu lakini sio mambo ya Tanzania kwani unaweza kuswekwa lupango wakati wowote ukanyimwa dhamana.
Hayo yamemkuta Kaijage, nshomile mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma. Inaelezwa kuwa maoni yake pia kuhusu mambo yanayoendelea nchini kwetu yamechukuliwa kuwa kuchochea maandamano.
Lakini mmoja wa jirani zake amenijulisha haya:
"Lakini huyu mwalimu [mhadhiri] pia ana mtoto mlemavu anayehitaji uangalizi maalum wa kila wakati"!
Sisi Askofu Mwamakula tunatoa wito kwa idara zote za Political Sciences, wahadhiri wote wa vyuo vikuu vyote nchini kuungana ili kumpazia sauti mwenzao. Kinachoendelea nchini sasa ni shambulio dhidi ya taaluma na fikra katika vyuo vikuu vyote nchini. Kama maprofesa hawawezi kuwa huru kutoa fikra zao tutakuwa taifa mfu!
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Itunge, Dar es Salaam; 19 Julai 2026; Saa 9:50 alasiri
VIDEO:
Zaidi ya nyumba 17 zimebomolewa katika Mtaa wa Mpamaa, Kata ya Miyuji jijini Dodoma, na kuwaacha familia kadhaa bila makazi ya kudumu huku baadhi ya wakilazimika kulala nje baada ya kupoteza makazi yao.
Wakizungumza na Jambo TV, wananchi walioathirika wamesema mgogoro huo ulianza mwaka 2016 kati ya wakazi wa eneo hilo na Taasisi ya Imamu Taqwa. Kwa mujibu wao, taasisi hiyo ilidai kuwa eneo hilo ni mali yake na kuwataka wakazi waondoke, huku wananchi wakieleza kuwa walinunua viwanja hivyo kutoka kwa wazawa.
Wananchi hao wamedai kuwa walifungua shauri katika Baraza la Ardhi na Nyumba la Kata ya Miyuji, ambapo wazawa walishinda kesi hiyo. Wamesema Taasisi ya Imamu Taqwa ilikata rufaa katika Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya, lakini hukumu nayo ilitolewa kwa upande wa wananchi, walioruhusiwa kuendelea kuishi katika eneo hilo.
Kwa mujibu wa wananchi hao, baadaye eneo hilo lilianza mchakato wa urasimishaji na walipatiwa namba za malipo (control numbers). Hata hivyo, wanadai kuwa baadaye taarifa zao ziliondolewa kwenye mfumo wa ardhi na eneo hilo kuandikwa kuwa lina mgogoro unaohusisha Taasisi ya Imamu Taqwa.
Wananchi hao pia wamedai kuwa kulifunguliwa kesi nyingine, lakini walikuwa wakipewa taarifa zisizo sahihi kuhusu tarehe za kusikilizwa kwa shauri hilo. Wanasema walipofika mahakamani walikuta kesi tayari ilikuwa imesikilizwa, na baadaye ikaamuliwa kwa upande wa Taasisi ya Imamu Taqwa.
Aidha, wananchi hao wamesema walipewa notisi ya wiki mbili kuondoka katika eneo hilo. Baada ya kufika Ofisi ya Waziri Mkuu kuwasilisha malalamiko yao, wanasema walielezwa kuwa ubomoaji usitishwe hadi mamlaka husika zijiridhishe kuhusu mgogoro huo. Hata hivyo, wakati wakisubiri kuitwa kwa ajili ya usikilizwaji wa suala hilo, walishangaa kuona magari yakiingia eneo hilo na kuanza kubomoa nyumba zao.
Wananchi hao wamesema leo wamewasilisha tena malalamiko yao katika Ofisi ya Waziri Mkuu, ambapo wameahidiwa kuwa kesho saa 5:00 asubuhi kutakuwa na kikao kitakachowakutanisha maafisa wa ardhi, wawakilishi wa Taasisi ya Imamu Taqwa pamoja na mamlaka nyingine husika katika eneo la tukio ili kutafuta suluhu ya mgogoro huo.
Jambo TV imefanya juhudi za kumtafuta Mwenyekiti wa Taasisi ya Imamu Taqwa, Yusuph Hussein kwa njia ya simu amesema hatua hiyo ilitekelezwa kufuatia amri ya Mahakama ya Rufani baada ya taasisi hiyo kushinda kesi ya umiliki wa eneo husika.
Jambo TV itaendelea kufuatilia na kuwaletea wasomaji wake maendeleo ya mkutano unaotarajiwa kufanyika kesho pamoja na maamuzi yatakayofikiwa kuhusu mgogoro huo pamoja na kusikiliza majibu ya pande zote zinazohusika katika mgogoro huo.
Wananchi wanahasira hawataki Makam wao John Heche aguswe, wanasema ukimgusa watalala na wewe mbele maana kwasasa kiu yao kubwa ni Mabadiliko na katika kuyasaka mabadiliko hayo mpaka sasa HECHE anatuongoza vema.
Wale wote ambao mlikuwa mnawiwa kuonyesha Solidarity kwa kumchangia chochote Mhe. Heche kasema anaomba badala ya kumpa yeye mkichangie CHAMA ili kiweze kuitisha kikao cha BARAZA KUU.
CHANGIA SASA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
@MsigwaGerson Deni la taifa lilikuwa TZS trilioni 110 + Mkopo huu wa takriban TZS trilioni 1.2 = 112.2.trilioni (Hongera kwa mabeberu wa CHADEMA)🤗
Mara uchumi umekua mara mnakopa🫣Tuna rasilimali za kutosha lkn ufisadi kama uliotajwa na CAG,kutokuwajibika kwa viongozi vinaiponza Tanzania!🤗