Unachofanya sirini kitaonekana mbele za watu!!!
Siku zote mchakato (sirini)huwa hauonekani MATOKEO (mbele za watu) NDIO YANAONEKANA
Matokeo/mafanikio HUWA WAZI
Dear wajasiriamali kuna kitu kimoja tu ambacho ndio cha muhimu zaidi kwenye biashara yako na hiki kipo katikati ya masikio π¦»πΏ yako, Usipokilisha biashara yako haikui hata ikikua itakuja kurudi chini tu maana biashara yako haiwezi kukua zaidi ya hicho kitu!
Je hicho kitu ni kitu
Niliamua zaidi ya miaka 13 iliyopita nitakua mshabiki namba moja wa NDOTO zangu na NITAKUA muhamasishaji namba moja wa NDOTO zangu,nita bet kwenye NDOTO zangu,nitakuwa tayari KUONEKANA MWEHU sababu ya NDOTO zangu!
Marko 11:23-29 Nawaambieni kweli, mtu akiuambia mlima huu:Ngoka ukajitose baharini,β bila kuona shaka moyoni mwake, ila akaamini kwamba mambo yote anayosema yanafanyika,atafanyiwa jambo hilo.
Kwa hiyo nawaambieni, mnaposali na kuomba kitu, amininikwamba mmekipokea, nanyi mtapewa.