#MahafaliUDOM “Hivi karibuni tunatarajia kuanza utekelezaji wa mradi mkubwa wa barabara za njia nne zenye urefu wa Kilomita 110 hapa Dodoma kwa gharama ya zaidi ya Tsh.Bil. 500, Uwanja wa ndege Msalato ambao utaruhusu ndege zozote duniani kutua”-Rais @MagufuliJP