Hatimaye LEO NIMEKAMILISHA safari nyingine ya MIAKA 5 ya UTUMISHI, nikiwakilisha JIMBO la KAWE kwenye BUNGE la J/ Muungano wa Tanzania. Asante sana WANANCHI wa KAWE kwa HESHIMA hii KUBWA, ASANTE sana CHADEMA kwa kuniamini, Asanteni sana WATANZANIA wenzangu!! Tunasonga ππβπΏβπΏ.
Lakini unamfuatilia.....πππ! Mie nipo SAWA SAWA...π₯ππ!!!na walioshirikiana kuniita MSALITI wakageukana na kuitana WASALITI kwa lugha NGUMU sana . Ukikua (unaonekana bado mtoto) utakuwa makini sana kwa kila neno unalolisikia kwa binadamu mmoja ...dhidi ya mwingine..... ! Glad unanichukia...lakini unanichungulia πππ!
Na mimi Nakubaliana nawe 100%. Unajua heshima ilishaondoka 5years ago.. sasa nashangaa kwa nini sipotei kwenye VIDOLE π«π«vyenu mkiwa MNACHAPA spana ! π! Ni wazi tu MNANICHUKIA mpaka MNANIPENDA..
@halimamdee Halima kukijenga chawa Kwa nguvu kubwa hakukupi mamlaka ya kusaliti. Hatujawah kuwa na mjadala wenye kupuuza harakati zako katika ujenzi wa Chadema ila usaliti ndio kinachoondoa heshima yako .
@halimamdee Dada Halima kujenga taasisi sio tatizo ishu ni ur EXIT' imefanya hata hakuna finger prints mlizoacha ambazo zinakumbukwa au kiwa acknowledge
Tumejenga taasisi HATUA kwa HATUA wakati wao wananyonya au hata hawajazaliwa ππβ¦ Leo wanamiliki SMARTPHONE wanatuvimbia humu πππ! KWa BΔ°TΔ° NZITO NZITO .. nikitaka punguza stress natembeleaβgaβ hii DUNIA. Ni ya kipekee sana ! π