WAMEIBA NGOMA YA KIJIJI WANAHANGAIKA KUTAFUTA MALI PA KUIPIGIA.
SIYO TU KUSITISHA USAJILI WA CHADEMA ILE BARUA NI YA HOVYO IMEANDIKWA RECLESSLY bila kujali yanayopitiwa katika Taifa labda imeandikwa na Mwanagenzi ?
Nashauri kwa uthabiti tena.Hii ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa isipodhibitiwa au kufutwa au wote waliopo hapo kuondolewa kabisa na ikaachwa iendelee na vitendo vyake vya kihalifu dhidi ya dermokrasia ya ndani ya Vyama.
Punde tutakuwa na kilio katika nchi ambacho hatutapata wa kutubembeleza ili kututuliza.
Muungwana akivuliwa nguo huchutama.Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa ni Mzabibu mwitu katika shamba la demokrasia.
wahenga walisema tatizo siyo kuiba Ngoma ya kijiji.Tatizo ni pahala salama pa kuipigia.
BAK MWABUKUSI.
Chama kilichopoteza sifa zote za kuwa chama cha siasa hapa nchini na ambacho kinapaswa KUFUTWA mara moja ni CCM.
Watu wawili ambao wanapaswa KUFUTWA KAZI mara moja ili kuinusuru nchi hii na maafa zaidi ni Francis Mutungi na Sisty Nyahoza.
#Ukweli#Haki#Uwajibikaji
Kitendo cha Magereza na Mahakama kumpeleka Mwenyekiti wetu mahakamani bila taarifa ya mawakili wa chama na chama ni aibu na kutia mashaka sana .
Tumezuiliwa kumuona kiongozi wetu kwa miezi Karibia sita kinyume cha sheria..
Sasa anapelekwa mahakamani kwa siri na kificho nia yenu ni ipi?
Lissu ni kiongozi wa umma haiwezekani kumfanyia mambo ya ajabu kama haya.
Air Tanzania mmepoteza sanduku langu. Jana usiku nimesafiri na Air Tanzania Ndege Bamba 125 kutoka Kilimanjaro muja Dar es Salaam. Ajabu yake ni sanduku langu ndilo halikufika. Lolote litakalofanywa kwenye sanduku hilo utakuwa ni wajibu wa Air Tanzania.
KIMENUKAAAAAAA!!!!! Lipigwe jitu, Khamenei apitishwe mtaani wananchi walipe kisasi, kama jinsi Khamenei alivyoua wananchi na wananchi waruhusiwe kumalizana nae.
Any leader who shoots his/her people should meet the same fate.
Khemenei akabidhiwe kwa wananchi!!!!!!!!
LONG LIVE DONALD TRUMP!!!!!!!!! GOD BLESS THE USA! BEST COUNTRY IN THE WORLD!!!!!!!!!!
I would like to say publicly that representing Tundu Lissu, a far brighter lawyer than me is one of the highlights of my career. Shot over a dozen times and campaigning with a verve and strength that defies imagination. Gd bless him and Tanzania!
Mahakama imetamka kuwa sheria inayotoa utaratibu wa kuruhusu mashahidi wa siri ktk kesi za jinai ni BATILI.
Huu ni Uamuzi GHALI na MUHIMU sana.
AMRI ya kurekebisha sheria hiyo [ndani ya mwaka mmoja] inapaswa kuheshimiwa haraka iwezekanavyo.
Heko Mahakama!
Kama asilimia kubwa ya wahitimu wa vyuo vikuu Tanzania wanaishia kuwa bodaboda, wauza utamu, na mengine ya aina hiyo, mikopo ya elimu ya juu ina tija gani kwa taifa?
Kuna sababu zozote za msingi za kutumia trillions kumpa degree dereva wa bodaboda au masters utingo wa daladala?
#TANZANIA: YANAHITAJIKA MARIDHIANO YA KWELI, TAIFA HALIWEZI KUONGOZWA KIUJANJA UJANJA - ASKOFU BAGONZA
"Kimsingi, yanahitajika maridhiano ya kweli ili kurejesha amani na umoja wa taifa letu. Hakuna anayenufaika na mgawanyiko unaoendelea- wote ni wahanga na tunahitaji umoja na mshikamano wetu kama tulivyokuwa tukiishi. Katika mchakato mzima wa maridhiano, tujiepushe na sumu 5 zinazoishi...Baba wa Taifa aliwahi kuonya kuwa, Taifa haliwezi kuongozwa kiujanja ujanja" - Askofu Bagonza
"Mgeni wetu maalum naelewa kwa sasa mna mambo mengi sana mnayoshughulika nayo, mimi ninaloliona na la muhimu juu ya yote ni maridhiano ya kweli. Ile mijadala yetu ya kila siku juu ya kipi ni bora kati ya haki na amani kwa sasa si muhimu sana, kila mmoja ni mshindi anayependa haki ni mshindi na anayependa amani ni mshindi” - Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt. Benson Bagonza
Tanzanians killed are more than Israel hostages killed by Hamas, yet world is quiet as if those killed are Cockroaches!! US and entire Europe is silent on Tanzania Massacre by Samia Suluhu.
Msisahau leo #MariaSpaces - mjadala wa taifa unaendelea
Mkata swichi atakuwa kazini so mjipange
Leo tunajadili Way forward
Bunge letu litakuja na maazimio mengine njoo uchangie!
Kama kawaida leo usiku!