#PediMtaaKwaMtaa tumewafikia Mbagala Majimatitu, Wilaya ya Temeke na kukutana na wasichana 60 katika kutoa elimu ya matumizi sahihi ya taulo za kike. Ni haki ya kila mtoto wa kike kupata elimu ya usafi wa mwili na mazingira yake.
#SafeHavenFoundation#ProtectAndEducate
Safe Haven Foundation na Samatta Foundation tumeshirikiana na Taasisi ya Ushirikiano na Uratibu wa Maendeleo ya Uturuki (TiKA) Tanzania katika kuadhimisha Miaka 100 ya Jamuhuri ya Uturuki kwa kuzindua ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Miguu wa kisasa...
1/3
...katika Shule ya Msingi Msimbazi Mseto.
Tunamshukuru Mheshiwa Mkurugenzi wa Halmashauri wa Jiji la Dar es Salaam, Bw. Jomary Satura kwa kukamilisha shughuli kama mgeni rasmi.
Je ulikuaa unajuaa hii..?๐
Mimi Binafsi nilikuaa sijuii, hapa @SafeHavenTZ Mmetupatia Elimu Muhimu sana sisi Vijana..
Safe Haven Foundation..Protect & Educate..
๐๐ข๐ง๐ข ๐ฆ๐๐๐ง๐ ๐ฒ๐ ๐๐๐๐ก๐ข?
Hedhi ni kipindi maalumu (mabadiliko) katika mzunguko wa mwanamke ambao kwa kawaida hujirudia kila baada ya mwezi mmoja hutokwa na damu kwenye uke.
Ni hali ya mwili wa mwanamke kujitayarisha kuweza kupata ujauzito.
#Hedhi#SafeHaven
Safe Haven Foundation has partnered PMNCH, the worldโs largest alliance for womenโs, childrenโs and adolescentsโ health.
PMNCH is the worldโs largest alliance for womenโs, childrenโs and adolescentsโ health and well-being, with over 1,400 partner organizations working together..
Taasisi ya Safe Haven imepata nafasi ya kukutana na Mhe. Anjellah Kairuki, Waziri wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI). Kukutana na Waziri wa TAMISEMI ni jambo muhimu na lenye manufaa kwetu kama Tasisi.
Wakati Rais wa Indonesia akiwepo hapa Nchini Kwetu Tanzania kuna mambo kadhaa tunaweza kujifunza kutoka kwa Waindonesia.
1.Ndiyo nchi ya kwanza Duniani watu wake kuwa na Imani ya juu ya uwepo wa Mungu.
2. Ni nchi ya 13 kwa kuwa na jeshi imara.
3. Ni nchi yenye kasi ya juu ya ongezeko la watu.
4. Ni nchi ya nne Duniani kuwa na ukuaji wa pato ghafi kubwa la kiuchumi 5%.
5. Ni nchi ya nne Duniani kwa uzalishaji wa Parachichi.
6. Ni nchi ya tatu Duniani kwa uzalishaji wa kahawa.
7. Ni nchi ya pili Duniani kwakuwa na kasi ya internet 5G.
8. Ni nchi ya Saba Duniani kwa kuwa na urahisi wa uzalishaji wa bidhaa viwandani.
9. Ni nchi unayotumia siku 13 kuanzisha biashara. #Hustler
"Furaha na faraja katika maisha hupatikana katikati ya lundo la matatizo na changamoto, wenye pupa hukata tamaa,wenye subra na imani huifukua." ~Togolani Mavura.
Rwanda is Africa's safest country to travel to alone.
It has Africa's best Rule of Law, second best Police and third best roads.
Its capital, Kigali is Africa's cleanest city.
It is Africa's second best country to do business.
1 laptop per child policy.
Free Healthcare.
Africa's second leading nation in Gender Equality.
Universal eye care.