Matumizi ya ARV ni HALISI.
Tumia ARV kwa USAHIHI ili UFUBAZE VVU. Matokeo yake utaishi na VVU bila kushambuliwa, bila kuambikiza na ukipima HAVITAONEKANA. Ila haimaanishi vimeisha, VINAFUBAA TU.
Endelea kutumia ARV zako kwa USAHIHI.
Havionekani=Haviambukizi
Vijana wa NYP+ wakishiriki kutoa Elimu kwa Vijana balehe (AGYW) walio mashuleni kuhusu umuhimu wa Kupima VVU Na Kujikinga na Maambukizi Mapya ya VVU @Songea Girls Secondary
Vijana wa NYP+ wakishiriki kutoa Elimu kwa Vijana balehe (AGYW) walio mashuleni kuhusu umuhimu wa Kupima VVU Na Kujikinga na Maambukizi Mapya ya VVU @Songea Girls Secondary
Katika hatua muhimu ya kupambana na maambukizi ya UKIMWI nchini Tanzania, NACOPHA na ZAPHA+ wamesaini Mkataba wa Makubaliano (MoU)! Ushirikiano huu unaashiria jitihada za pamoja za kuimarisha afua zinazolenga kupambana na UKIMWI kote nchini.
Taarifa zaidi tembelea tovuti yetu.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu SBU - Dr Yonazi ametembelea banda a NACOPHA na kupongeza maandalizi mazuri kuelekea kilele cha siku ya UKIMWI duniani.
Kuelekea Siku ya UKIMWI Duniani, @nacophatz imeshiriki kikamilifu katika Kijiji cha Jamii kufuatillia kwa ukaribu ni changamoto zipi wanazopitia vijana na watoto katika suala zima la kinga dhidi ya maambukizi ya UKIMWI kwa makundi maalumu.
#letcommunitieslead#jamiiiongoze2023