Hello Dears♥️ Kama vile ambavyo usiku hauombi ruhusa ili uingie wala asubuhi haiombi ruhusa ya kufika kadhalika wakati wa kufanikiwa kwako utakapo ruhusiwa na Mungu hautaomba ruhusa kwa yeyote KAZA💪 HAKIKISHA HAUUKATII TAMAA WAKATI WAKO MUNGU SI MTU😍
Mambo ya kua mjinga waachie watoto na wanawake , mwanaume unapaswa kuishi kwa tahadhari na mahesabu na kupima kila maamuzi unayofanya ili kuepeka majuto 🤔 .