@fatma_karume Mungu Sio mjomba ako kusema Mtoto wa Shangazi nitamchukua aje Peponi, tukubali Takata Magufuli anafanya Kazi Kiroho Mbaya hivyo hivyo na Mtake msitake ndie Rais wenu Nani anabisha Aniambie Rais wake ni Nani Shenzy Type nyie
Kibongo bongo kumwabia Mzazi wako Unampenda tu ni Shida, Itakua hiyo michezo ya kucheza mpaka umshike Ziwa, Ila tuacheni bwana Hawa wenzetu washalaaniwaga kitambo ila Sisi tunawaiga tu Ushenzzy
@fatma_karume HATA KIPINDI CHA MUSA ALIVYOKUWA AMEAGIZWA NA MUNGU KUWATOA WANA WA ISRAEL UTUMWANI, HUKO NJIANI KATIKATI YA SAFARI PAMOJA NA MAKUU AMBAYO MUNGU ALIWAFANYIA LAKINI KUNA WAKATI ALIKUTANA NA VIKWAZO BADO .WENGINE HAWAKUAMINI YA KUWA YUPO MUNGU ATAKAE WAVUSHA MPAKA NCHI YA AHADI.
Mi naheshimu Sana kazi Za Huyu rais wetu Yaani sio Adukue Mawasiliano tu Ikiwezekana Adukue mpaka roho zao za wizi, unajua kuna namna sisi Watanzania tunapaswa kuyatazama Haya.
Magufuli anasema amesoma sms baina ya Waziri wa Afya na PS wa Tamisemi. Eti anapigiwa makofi. 🤣🤣 Mnampigia mtu makofi kwa kudukua?? Waafrika tutataaliwa milele. Mungu atusaidie tu.