The leader in Tourism & Hospitality Training in Tanzania at the Certificate & Diploma level. Also Conferencing, Restaurant, Bar & Accommodat facilities. ๐น๐ฟ
Buffet Full English breakfast practical conducted by Basic Technician certificate in Hospitality Management NTA level 4 students supervised by Food production and Food and beverage Service Tutors.
NCT A ladder to Excellence#
Mkuu wa Chuo Cha Taifa cha Utalii, Dkt. Florian Mtey pamojaa na Mwenyekiti wa Bodi ya NCT Bw. Imani Kajula tarehe 21.02.2025 wamekutana na Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Bw. Massaile Albano Musa katika lengo kukuza na kuendeleza mafunzo ya Ukarimu na Utalii hapa nchini
Join us at the Event Management Masterclass II at Arusha Campus from 1-4 October 2024 ,and establish New Networks with Event professionals and get to learn the best practices in Event Management

โจ Join us for the Event Management masterclass II โจ
Are you ready to take your event planning skills to the next level?
๐ Date: 1-4 Oct 2024
๐ Location:NCT Arusha - Sakina
โ๏ธ Call: +255620670742
Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Utalii(NCT) Dkt. Florian George Mtey ameambatana na Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Chuo, Bw Imani Kajula amefanya ziara katika ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Arusha .
Ms. Claudia Nshekanabo ,Event Management Tutor Leading on the topic โEvents Management Planing and designingโ at the Event Management master class at Bustani campus
Establish new networks with event professionals and get to learn the best practices in event management
Karibu ujiunge na Chuo cha Taifa cha Utalii kwa ngazi ya Cheti (Technician Certificate) na Stashahada (Ordinary Diploma) katika kampasi zetu zilizopo
1.Arusha
2.Bustani-Posta
3.Temeke
4.Mwanza
wawakilishi wa Chuo cha Taifa cha Utalii ( NCT) wakiwa Mlimani City kutangaza fursa za udahili kwa mwaka wa masomo wa 2024/2025 pamoja na kozi mbalimbali zitolewazo na Chuo cha Taifa cha Utalii.
#ncttanzania#ncttemekecampus#nctarushacampus#nctbustani
Chuo cha Taifa cha Utalii kinawatangazia kuwa dirisha la pili la Udahili kwa wanafunzi kwa mwaka 2024/2025 lipo wazi .
Tembelea tovuti yetu https://t.co/HrSM2rUJiO uweze kupakua fomu ya maombi ya kujiunga na Chuo Cha Taifa cha Taifa.
Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT)
kinakukaribisha ndani ya Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii katika Maonesho ya 31 ya wakulima, alimaarufu kama โNane Nane 2024โ yanayofanyika katika Viwanja vya Nzuguni Nanenane mjini Dodoma
Bw. James Msimbe kutoka Chuo cha Taifa cha Utalii akiwahudumia wageni ambao wametembelea katika Banda la Wizara ya Mali Asili na Utalii katika maonesho ya Nanenane Jijini Dodoma
Wahitimu hawa wamemaliza mafunzo yaliyodumu kwa miezi minane chini ya udhamini wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu).
Mgeni rasmi katika hafla hiyo alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Mhe. Felician Gasper Mtahengerwa.
Baadhi ya picha za hafla ya kukabidhi vyeti kwa wahitimu wa mafunzo ya uanagenzi katika fani za Utalii na Ukarimu katika Chuo cha Taifa cha Utalii, Kampasi ya Arusha.