Nani anawadanganya kwamba mtateka kila mtu?
Nani amewambia kwamba kwa kuteka watu mtafanikiwa kunyamazisha umma?
Nani anawambia kwamba Mbinu hii itafanya muogopwe au kunyamazisha watanzania wote?
Kwa taarifa yenu, kila damu mnayomwaga inachochea hasira za watu, inaondoa uoga na hofu kwenye mioyo ya Watanzania.
Your days are counted, mtakimbia na mabegi ya nguo hamtakumbuka hata vitu vya thamani mnavyoiba na kuficha ndani.
Watanzania tusiogope tuungane zaidi na tukomeshe hawa mashetani wanaonyonya damu zetu.
Hivi Inawezekanaje mpaka sasa hawa watu wako URAIANI halafu LISSU yuko MAHABUSU? Serikali inayohubiri AMANI kila siku, ila hawa watu haiwaoni.
Msipowasikiliza Wananchi wanataka nini, ipo siku watachoka na kugeuka waasi. @HecheJohn@godbless_lema@Sativa255