...MATCHDAY...๐๐
โฝ Mashujaa FC v Yanga SC
๐ NBC Premier League
๐ Lake Tanganyika, Kigoma
๐บ Azam Sports 1HD
๐ป TBC FM
โฒ๏ธ 16:00 EAT.
...Daima Mbele Nyuma Mwiko.
Tukiachana na yote, YANGA wanaonekana wanaishi kwa umoja na ushirikiano sana kuanzia ndani mpaka nje ya uwanja. Support waliyompa Azizi Ki ilikuwa ya nguvu sana.