Usiogope Kupoteza Baadhi ya Vitu/watu maishani, katika umri wangu mdogo wa miaka 34, nimejifunza kwamba kile unachoona/unachodhani umepoteza, HUJAPOTEZA! Nimpango wa Mwenyezi MUNGU kukupeleka kwenye Uelekeo wako Sahihi na kukupa Bora zaidi Ya Ulichodhani Umepoteza!!.....📝