Aden Rege zile mechi zako ulizotuaminisha tutawakamata hawa jamaa, moja imeota mbawa tutafutie nyingine ya kujazia la sivyo utakuwa umetulisha matango pori
Inakuwaje taifa lolioua mamilioni ya watu huko Japan, Iraq, Afghanistan, Libya na kwingineko dunia nzima wanapata ujasili wa kuwaiti wenzao majina mabaya?
Kuna nchi dunia hii inajiona kama Mungu vile, wamebomoa Iraq wameua Sadam Hussein na maelf ya raia wasio na hatia, wamebomoa Libya wakua rais wao na maelf ya raia vivyo hivyo Afghanistan. Leo wanasema Putin amekosea, pumbavu zao America
@mzeewakaliua Nchi hii ya ajabu sana kuna waliowahi kubeba TV kuwaonyesha wandishi wa habari makosa ya refa kwenye mechi yao. Kwa mtindo huo VAT ya nini?
Ukiniuliza mechi gani mwaka huu simba wameshinda kihali nitakuambia ya Asec Mimosa na ile ya Dar city zinginezo shukrani kwa waamuzi waliojitolea kufungiwa