Imagine Jirani Yako Wa Kike Ameanika Chupi Zake Nje Alafu Amekuaga Anatoka Mara Moja, Gafla Hali Ya Hewa Ikabadilika Mvua Ikaanza Kunyesha. Je Utachukua Hatua Gani?
Unaishi Na Watu Ila Wamezungukwa Na Bahati Mpaka Mnakubali Na kusema Fulani Anabahati
Kama Mwanao Ni Mdogo, Siku Ya Kumtoa Nje, Chukua Beseni Weka Shilingi Elfkumi Na Nywele Zake Umuoshee Kwa Pamoja
Ile Elfkumi Uende Ukawape Watoto Yatima Mwanao Akikua Bahati Zitamuandama🙏🏿
kuna ile mnafanya bishara inayo fanana na jirani utakuta jirani bei kubwa ila bado wananunua na kwako bei chini ila wanapita kama hawaoni hii inaumiza sana😭
Tiba Tiba Tiba!!
Kama Unatatizo Lakupoteza Fedha Kwenye Biashara Yako(Chuma Ulete)
Cha Kufanya Sehemu Unayo Weka Hela Tupia Matula Mawili Yenye Rangi Ya Njano, Pili Weka Na Mkaa Huo Mkaa Uokote Njiani Sio Wa Nyumbani!!
Utakomesha Tatizo Hilo Napesa Utaziona Ziko Sawa👊🏿