أبلغ ما قيل في المواساة: الله قدَّر هذا، وهو كفيل به
Miongoni mwa maneno bora kabisa ya kumfariji mtu ni: "Mwenyezi Mungu ndiye aliyekadiria jambo hili, na Yeye ndiye atakayelisimamia."
Makubaliano yetu ni yale yale ukiulizwa ume date na watu wangapi majibu ni 3 tu
1. Alikuacha alivyoenda Chuo/ Dar
2. Ulimfumania alikuwa ana cheat na rafiki yako
3. Alishindwa kukuvumulia wakati unajitafuta
#ElimikaWikiendi
حين أحببتك أدركت أن هناك أنواعاً أخرى للغرق غير الماء
#غرام
Pindi nilipokupenda ndiyo nikajua kwamba kumbe mtu anaweza kuzama sehemu ambayo hakuna maji.
#HubaZito
Fanya ibada.
Piga kazi kwa ubunifu.
Heshimu kila mtu hata kama ni mdogo.
Achana na wanawake na Pombe.
Jipende mwenyewe.
Wajali watu wako wa karibu.
Acha Muda na MUNGU waamue utafanikiwa kwa ukubwa gani.