Ndio hisia ni kitu muhimu hasa katika maisha yetu wanadamu ila ukishindwa kuzicontrol zitaharibu mipango yote tuliyopanga na hata kuturudisha nyuma kimaendeleo.
Katika maisha tambua kwamba lazima uwekeze juhudi, maarifa na akili bila kupoteza muda. Wakati ukifika baadae, unasherehekea ushindi p1 na wale mlioanza nao. Thus life✊
@Mike_IFX Ukiuza tshet kuanzia 10 mpka 15 usharudisha mtaji then zilizobakia ni kutafuta faida. Kwa siku moja kuanzia asubui mpka jion nakua nimemaliza mzigo faida baada ya kutoa mtaji 50,000 mpka 100,000 kwa lugha nzuri ya biashara. Tshet zinavaliwa kwa jinsia zote.