"I love you. I'm in love with you. You're the love of my life. My every feeling is controlled by the look on your face. I wait for you. I watch for you. I exist for you...."
Dada wa TAIFA katuhakikishia hatarudi kwenye UMBEA ambao ulikuwa ndio unampa pesa.
Sasa atafocous na ukombozi wa hili taifa, na anaamini UKOMBOZI upo karibu sana tuendelee kushikamana na kuamini inawezekana.
Mpaka sasa ni kama tumekula Ng'ombe mzima na kubakisha mkia. Kwasasa kinachotakiwa ni kurudi mezani na kuchora ramani mpya ya mapambano.
Kama tulivyofanya mara ya kwanza pia sasa tufanye vile vile. Wewe una mawazo gani kuelekea mbele kutoka hapa tulipo. Mbele yetu ni UKOMBOZI wa taifa.
REPOST
TUTAKUWEPO🫵😎
AU just issued a statement and concluded that The tanzania general election did not comply with AU principles and other international obligations.
What does this mean to Tanzania post election??