Mwanaume ukiwa kwenye mahusiano jitahidi usimuonyeshe demu wako kwamba, she is the best thing you posses at the moment.
Anapaswa kujua pia kwamba akizingua anaachika vizuri tu.
Unapaswa kumpa room ya kukuacha
kama akihisi kaona mtu bora zaidi yako na usiumie.๐๐พ
Hey Dwags out there! usimuonyeshe demu wako kwamba, she is the best thing you posses at the moment.
Anapaswa kujua pia kwamba akizingua anaachika vizuri tu.
Unapaswa kumpa room ya kukuacha
kama akihisi kaona mtu bora zaidi yako na usiumie.๐๐พ
Usimlilie Mtu kwa kutoweka maishani mwako.
Hua tunaomba Mungu! atuondolee Watu wasio sahihi na kutupa walio sahihi Maishani mwetu!
Kuondoka kwao wenda ikawa Majibu ya dua zetu.
Wewe ni Wathamani..โจ๏ธ
Aliniambia""Mwanangu Acha kufikiria kila mtu ni rafiki ako kwa kumwambia kila kitu chako,Jaribu kuwa mkimya katika mipango yako maana sio kila sikio husikia kwa nia njema""
Momโค๏ธ
Kila kitu kwenye maisha yak fanya kwa kiasi tu usijitumishe sana SMS sehem ambapo hujibiwi
Usilazimishe sana,kama haoneshi kukuelewa.HAKUTAKI,ila anataka ujihukumu mwenyewe.Kwenye Mahusian jifunze zaid ishara zake kuliko kusikiliza san maneno yake
Uszidishe Unashusha Thamani.๐
Kuna mwanngu mmoja Kula yake ya kupapasi mno,Skonga nako Changamoto zinamsonga na Mapenz yamvuruga kila kukicha
Lakini bado anaamini atarudi na kifurushi nyumbani,Anaamini Atarejea nyumbani na USHINDI
Ni mechi ya ugenini isiyo na marejeano lakini still unbeaten tutashind tu
MAMA nyumbani mda huu kapiga goti kukuombea Mwanae utoboe kesho, Mwanae upo sehemu umempigia magoti Mtoto wa mtu ili akupende.
BABA anashindia dagaa na familia yake kijijini, wewe upo busy batani unaita Weita ongeza nyingine.
Tuna deni kwa hawa watu Wanangu!
Hatupajui kwa Mganga sisi, hatujikombi kwa Maboss sisi, hatuna wapambe sisi, hatuna Mtu yoyote anayetujua sisi.Tunasali na kulala sisi,tunaamka nakupambana sisi,Ao Wote ni SISI.
Vita yenu dhidi ya sisi basi anatupigania Mungu sisi.
#IFeelYouWanangu
Mama kapiga goti nyumbani Mda huu akishika na tumbo ambalo alikubeba,anamwomba Mungu ili Mwanae utoboe kwenye hustle zako.
Mshua kiume tu anakunja ngumi kuwa Mwanangu apigane kiume mjini arudi na ushindi nyumbani.
WANANGU Kesho twendeni tena, tuna hawa watu wawili WANATUOMBEA
Baba anatamani kukupigia simu akueleze shida za nyumbani lakini anajua huna msaada zaidi ya kukutia Unyonge.
Mama nae anakosa neno pindi wenzake wanazungumzia mafanikio ya watoto wao ye anabaki kimya.
WANANGU tuna deni kubwa sana kwa hawa watu lazima tulilipe.