Born & Raised in Islands of Ukerewe | Blogger | Storyteller | Educationalist | Poet | Versatile Novelist | Critic | Lifetime Fan of Michael Jackson music |
Sijawahi kuchoka kumsikiliza Michael Jackson, hata kama nilimsikiliza juzi na jana bado nitamsikiliza leo, kesho, keshokutwa, siku zijazo, wiki zijazo, miezi ijayo, miaka ijayo na miongo yote. Hiki ni kiapo niliapa baada ya kuifahamu falsafa ya muziki wa mtaalamu Michael Jackson.
Kiapo hiki cha utiifu na cha Maisha yangu yote nakiweka leo 26/06/2020 baada ya kuwa shabiki kwa miaka 10 nikiwa na akili timamu. Siku naacha kujihusisha na muziki wa Michael Jackson itakuwa siku nimepoteza uwezo wa kuona au kusikia au vyote kwa pamoja. Mungu nisaidie. #Venancism
@Mtzmzalendo1@bandason_jr@IkuluSTANZA Jamhuri ya Stanza ni nchi ya kufikirika iliyobuniwa na mwandishi Lello Mmasi katika riwaya zake 3: Mimi na Rais, Chochoro za Madaraka na Ninaapa Kwamba.
Miswada ya riwaya lazima iwe ni baina ya maneno 40,000 hadi 60,000; mkusanyo wa hadithi fupi usizidi maneno 40,000, na kila hadithi isipungue maneno 1,000 na isizidi maneno 6,000; na diwani ya mashairi iwe ni baina ya kurasa 60 na 70.
Wanaotaka kushiriki wanaombwa wapeleke miswada yao kwa anwani hii: [email protected] Tarehe ya mwisho ya kupokewa miswada ni 30 Novemba, 2024. Kwa maelezo zaidi - kwa Kiswahili na Kiingereza - tafadhali tembelea tovuti yetu https://t.co/oVxgyxbPGx
Tuzo ya Kiswahili ya Safal ya Fasihi ya Afrika hivi leo imewatangazia washiriki kuwasilisha miswada yao kwa ajili ya shindano la mwaka huu wa 2024. Uwasilishaji wa miswada kwa mashindano ya mwaka huu unaanza leo na kumalizika tarehe 30 Novemba, 2024.