@HildaNewton21 Sometimes sisi wabongo ni km tuna utindia wa ubongo,
Utaskia mtu anamponda hta Mo dewji,ila yeye kakaa kijiweni au kwenye social media , bank account inasoma 100k ,nae anajiona ana akili kumzidi Mo,Sasa unajiuliza akili zake huyu mtu zinamsaidia nn wakat wajinga wanafanikiwa?
@mangekimambi Don't let us na sisi watanzania tumuombe Mmarekan ashushe mambomu hapa tz ili CCM iondoke,am I right? By the way ur a woman u cant think properly.
@HildaNewton21 Km watanzania mmeiendesha bandar Kwa zaid ya miaka 40 na hakuna maendeleo Why asipewe muwekezaji! Ok nyie ndo akipewa muwekezaji kauziwa na police wakikamata mtu ndo kamteka! Tz tuache chuki hata kwenye maendeleo ya nchi.
@Sativa255 Always I'm trying to advice this Guy,lkn mze kichwa chako ni kigumu sana kuelewa,acha kila kitu kiishe hao unaowapambania siku ukifa watakuzika km shujaa then watarudi bar kula nyama na bia na kila kitu kitaishia hapo.
@HildaNewton21 Ungetumia muda na energy hii ulonayo kutafuta pesa sasahv inawezekana ungekua na biashara kubwa sana,sio Kwa ubaya ila unatumika vbaya .
@HecheJohn Unacholalamika hapa bwana Heche sio kuhusu mauaji ya 29th,Wala huna uchungu huo,Plan ya 29th ilikua ni ya CDM ila hamkupata matokeo mliyotarajia,just calm down kisha mje na plan nyingine hii ya 29th ilishafeli na mmeua watu Kwa plan zenu mbovu, acheni kuturemba na maneno hapa.
@HecheJohn Unajua nyie wanasiasa mna akili sana,b4 29th mliplan na kuziteka akili za vijana na mkajua tu kutokana na sumu mliowajaza lazima watafanya vurugu na police hawatotulia lazima watafanya jambo,so mkasubir reaction yao now mmepata content,nyote ni wauwaji tu hakuna kutupiana mpira.
@HildaNewton21 Skuhiz wachawi sio wazee,hv ungekaa ukamuombea mamako akawa na kacheo serekalini ungepungukiwa nn,kazi kukaa vilingeni kuroga mama wa watu afe ili unufaike na nn ambacho huna saahiz.?
@MariaSTsehai Maria km unahitaji kibali Cha kuendelea kuwa mkimbizi wa kisiasa tafuta matukio mengine ya kureport sio haya ,yashakua ya zamani mno,hata huyo Larry akisoma anaona ni habar nyepesi yu ya kutunga ,acha utoto na kupotisha watu ,Yan watu aache kula Sikukuu na familia .
@HecheJohn We mzee hebu acha watu wale Sikukuu na familia zao,Roho Yako haitulii bila kuona vurugu kwenye hii nchi? Watu walishakufa Kwa uchochezi wenu usiokua na mipango thabit ,Leo unawakumbusha Tena.
@godbless_lema Buda unazingua,Yan hapo ndo umefika mwisho wa kufikir, UNFOLLOW hii itasaidia nn? Itamuondoa kwenye uwaziri,itamfanya aongee unachotaka au itampunguzia nn,mze unawaza km watt wa 2000?
@Sativa255 Yan kenge km ww unajifananisha na wambura au muliro ,so we ndo mpanga mipango ya maandamano ili watu wafe we ubaki ukila mema ya nchi juu ya dam za watu,Tofauti Yako we na alieuwa Kwa bunduki ni ipi? Nyote mnawatumia waTz Kwa manufaa binafsi, stupid kabisa nyie.
@Sativa255 Hv mtawaona watanzania wajinga mpk lini ,Yan unaandaa na kupush maandamano ya amani huku we mwenye haupo,unajificha nn? Unataka watu wakakudaie haki huku umetulia geto na popcorn unachek CNN wanapost nn!
@Sativa2555 Tukimaliza kusherehekea hichi kinachoendelea na Hawa wanaojiita wanaharakati,wao watapewa uraia huko marekani na ulaya Kisha mini na ww tunaojiita GenZ tutabaki hapa hapa Tz,
#ThinkTwice Kabla hujaamua kuwaunga mkono,
Wenzenu wanatafuta Visa ya kwenda marekani.
@mangekimambi@realDonaldTrump We ni mweusi tu Hata uandike waraka haitasaidia kukupa ww uzungu mbele ya Trump,kaz uchawa tu kugombanisha watanzania wenzio Kisa unaishi Ughaibuni,
Huna tofauti na wale waliopewa chakula na Mavazi ili kuwavalisha waTz wenzao Minyororo ya utumwa,
Your a killer because of money.