Tuna takiwa tuwafundishe watoto wetu kuwa na utu na kujitoa Kwa utu kabla ya kutoa kitu..... Nirahisi kutoa kitu kama umejaliwa kuwa na UTU ila unaweza kuwa na vitu vingi ukashindwa kutoa Kwa kukosa kwako Utu tu.......๐๐ฝโค๏ธ
@ayubu_madenge "tena alipigana vita Iraq na Afghanistan" hii kauli munaiongelea kama vile alivyo fanya ni halali. Km vile hakuna dhulma alifanya.
Anyway kila moja ana njia yake ya kuondoka duniani, dunia ni mapiti tu
@UsiaL62187@ayubu_madenge Lugha ya wakoloni! Iihali wewe mwenyewe unatumia nadharia zao. Kwa mfano ungejuaje kusoma na kuandika bro take time to thinks
@mmeruwaArusha@innocent_m37729@ayubu_madenge Hii ni akili finyu inayo tokana na uhaba wa fikra ya maumbile. Kwamba kisa umeumbwa na alie kumba aumbwe? Yeye ni mtukufu alie tukuka hana mshirika hafi wala hali hana sifa ya kumbwa kwa sababu yeye hana madhaifu na sifa ya kumbwa ni udhaifu
@UsiaL62187@ayubu_madenge Likatoa mifupa na badae nikazaliwa. Hivi unadhani ni nani mwengine mwenye uwezo wa kufanya kama hayo
(Surah An-Nur Ayah 45)
(Surah Al-Muโminun Ayah 12-14)
Mbona kila kitu kiko wazi tatz nn wakubwa kinacho washinda kuelewa
@UsiaL62187@ayubu_madenge Mimi niliumbwa kwanza ndio nikazaliwa. Kumbwa ni kutengenezwa kwangu kwa maji maji yalio toka kwenye mgogo wa mzazi wangu wa kiumme yakakutana na ua la mke (mama) ua lilijengwa kwa protien likageuka kuwa tonge la damu na badae likatoa mikono na miguu na mengine ya mfano wa mtu...
@innocent_m37729@ayubu_madenge Hakuna mola mwengine zaidi ya huyo mola ni moja tu na utukufu wake wake pekee ndio unao fanya haya yote. Kila alicho kisema kinaendana exactly na mwenendo wa dunia kwa kitu husika hapo ndio utaelewqa yeye ni wakweli
@UsiaL62187@ayubu_madenge Sio kumezeshwa ndio uhalisi unakataj ukwel kuw Mumgu ndio muwez wa yot wakat ukiulizwa uhai wako umeupaeaje duniani hujui ukiulizwa je una uhakika wa kuishi kesho hujui, ukiulizwa kuna jia yyt inayo weza kukufanya ukarudi duniani baada ya kufa hujui sasa unakataje aliosema Mungu
@innocent_m37729@ayubu_madenge Na amini Mungu yupo kwa sababu kuna dalili zote za kuwepo wake. Kuanzia kimuili( maumbile ya mwanadamu) na mwenendo wa dunia pia. Vyote ni usibitisho tosha kuamini kuwa Kuna Mungu
@UsiaL62187@ayubu_madenge Basi hujifunzi kitu kuwa kwanini una hofu wakati maisha hayana Mungu hakuna mabaya baada dunia kwanini muili una hofu ya kufa!?
Kwanini una amini kuwa kua ni dhambi wakati wajua hakuna Mungu dhambi hio ina maana gani?
@UsiaL62187@ayubu_madenge Doh ndio akili yako ilivyo maliza kukuwazia. Kama unadhani nimelishwa toka utotoni ni muda sana nimekuwa na nimeridhisha kuwa njia niliyo gundishwa ni njia sahihi kabsa. Vitu vya ajabu sana mtu kuishi kwa kuamini kuwa maisha haya hakuna Mungu wakati kila kitu kinajionyesha wazi.