Namna FIFA walivyotengeneza mfumo wao, hakika wanastahili "pongezi." Ni "chaka" fulani hivi limejaa "viburi" halafu haliruhusu asiyehusika na wanachokiita "mpira wao" kusafisha! "Chaka" limeanzia "Hedikota" mpaka "vijijini kwetu!" Na ndio maana vijijini kwetu viburi vingiiiiiiii!