Mm juzi nilipoona yule Bella kajirekod akisema ana password za camera ofisini kwa shekhe atatoa video zake ndio nikajua hili swala sio la mtoto tu kuna kitu nyuma yake huyo dada ana jambo zaidi ya hilo nikaacha na kuhukumu wazaz huwa tunagombana kweli juu ya watoto ila huyu kazid
Inauma kuona kijana amenusurika kufa kwa kupigwa risasi, lakini maswali bado ni mengi kuliko majibu. Uchunguzi umefikia wapi? Ukweli utawekwa wazi lini? Wananchi tunahitaji uwazi, uwajibikaji na haki. Ukimya hauondoi maswali. #Haki#Uwajibikaji
Protect the Whores at all costs man!!!!!!!!! Woahππππππππππππ₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯
@godbless_lema Adui yetu kwa sasa ni Samia+Serikali yake ya waovu, tutaungana hata na shetani kumkabili alafu tukimalizana naye ndo tutamuondoa shetani miongoni mwetu. Historia ya Heche na mchango wake kwenye haya mapambano ni mkubwa sana kuliko hizi tuhuma