Balozi Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi na Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya TNBC, tarehe 1 Juni, 2026 ameendesha kikao cha Kamati Tendaji cha 38 katika Ukumbi wa Mikutano IKULU Jijini Dar es Salaam
Mhe. Bal. Dkt. Pindi H. Chana, Waziri wa Maliasili na Utalii na Mwenyekiti wa Majadiliano ya Kisekta kati ya Wadau wa Utalii na Wizara ya Maliasili na Utalii (MPPD), leo tarehe 13 Mei, 2025 ameongoza Mkutano wa Nne wa majadiliano katika Ukumbi wa ST. Gaspar jijini Dodoma
Dkt. Natu Mwamba (kati), Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na M/kiti wa Kikundi Kazi cha Fedha akiongoza Kikao leo tarehe 9 Mei, 2025 katika Ukumbi wa HAZINA Jijini Dar es Salaam. Kushoto kwake ni Katibu Mtendaji wa TNBC Dkt. Godwill G. Wanga
Dkt. Hashil T. Abdallah, Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara na Mwenyekiti wa Kikundi Kazi cha Viwanda akisisitiza jambo katika Kikao Maalum cha Kikundi Kazi leo tarehe 11 Machi, 2025 katika Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Magogoni, Jijini Dar Es Salaam
Dkt. Hashil T. Abdallah, Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda na Biashara ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kikundi Kazi cha Viwanda leo tarehe 11 Machi, 2025 ameongoza Kikao Maalumu cha Kikundi Kazi cha Viwanda katika Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Magogoni, Jijini Dar Es Salaam
Bw. Mashaka, wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kikao akimwakilisha Katibu Mkuu na Mwenyekiti wa Kikundi Kazi cha Kidijiti, mara baadaa ya ufunguzi wa Kikao Maalumu cha kwanza cha Kikundi kazi tarehe 28/2/2025 katika Ukumbi wa TCRA Dar
Wajumbe wakishiriki Kikao Maalum cha Kikundi Kazi cha Kidijiti kilichoongozwa na Bw. Mohamed Mashaka, Mwenyekiti wa Kikao, akimwakilisha Katibu Mkuu na Mwenyekiti wa Kikundi Kazi, tarehe 28/2/2025 katika Ukumbi wa TCRA Jijini Dar Es Salaam.
Wajumbe wakishiriki Kikao Maalum cha Kikundi Kazi cha Kidijiti kilichoongozwa na Bw. Mohamed Mashaka, Mwenyekiti wa Kikao, akimwakilisha Katibu Mkuu na Mwenyekiti wa Kikundi Kazi, tarehe 28/2/2025 katika Ukumbi wa TCRA Jijini Dar Es Salaam.
Mhe. William Vangimembe Lukuvi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, (S,B&U) leo tarehe 18 Februari 2025 ameongoza Mkutano wa majadiliano kati ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Viongozi wa Wadau wa Sekta Binafsi katika Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Magogoni Jijini Dar Es Salaam.
Dkt. Jim Yonaz, Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (S,B,U) akizungumza kwenye Mkutano kati ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Viongozi wa Wadau wa Sekta Binafsi ulioongozwa na Mhe. William V. Lukuvi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)