𝗧𝗛𝗔𝗡𝗞 𝗬𝗢𝗨 Milton Nienov
Tunamshukuru Kocha wa magolikipa Milton kwa mchango wake katika kipindi chote alichofanya kazi kwenye benchi la ufundi la Klabu yetu na tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya nje ya Young Africans SC.
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko