Concerned Citizen & Political Economy Specialist, Security Strategist. Any tweets is my own views. RT is NOT an Endorsement📍. Love to my country Tanzania
Ninakutakia baraka ya Mungu kama ilivyo katika Zaburi 125: 3a - “Kwa maana fimbo ya udhalimu Haitakaa juu ya fungu la wenye haki;”
Hakuna haki yako itakayopotea
TAARIFA KWA UMMA
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) tunalaani na kupinga vikali kurejea kwa kasi kwa matukio yenye sura ya utekaji nchini, kwani ni tishio kwa uhuru wa raia, usalama wa wananchi pamoja na utawala wa sheria.
Tunatoa wito kwa vyombo vya dola kuhakikisha sheria, taratibu za ukamataji na haki za msingi za binadamu zinazingatiwa ili kurejesha imani ya wananchi na kulinda misingi ya demokrasia na haki nchini.
Tunamshukuru Mungu kwa siku ya jana ambayo tulipata nafasi ya kujifunza mada mbalimbali kutoka kwa Mch.Wilbroad Mastahi, na Dr.Garvin Kweka. Kwa Neema ya Mungu pia nilifundisha somo la “JIONYESHE KUWA MWANAUME” likiongozwa na neno kutoka 1 WAFALME 2:2. Tunamtukuza sana Mungu jinsi anavyoendelea kutuhudumia katika kambi hii maalum ya wanaume hapa Kudu Lodge, Karatu.
Tunamshukuru Mungu aliyetusafirisha salama, kutoka Dar es salaam, mpaka Dodoma kisha Dodoma mpaka Manyara kwa ajili ya kambi maalum ya wanaume ambayo inafanyika hapa Kudu Lodge Karatu. Mungu awabariki sana
Tunamshukuru Mungu kwa kupata nafasi ya kujifunza mada nzuri kuhusu Fedha na Kujiandaa kustaafu, ambayo imewasilishwa na CPA (T) Oswald Urassa. Tunazidi kuziona baraka za Mungu katika kambi hii maalum ya wanaume inayoendelea hapa Kudu Lodge Karatu.
Ikulu, Dar es Salaam, 16 Mei, 2026.
Nimekutana na kufanya mazungumzo na Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote pamoja na ujumbe wake.
Alhaji Dangote ni mmoja wa wawekezaji wakubwa Tanzania ambapo kiwanda chake cha saruji (Dangote Cement) mkoani Mtwara kinakuza uchumi wetu kupitia biashara ya saruji, ajira kwa Watanzania na kukuza sekta fungamanishi.
Unapoianza wiki yako, ninakukumbusha kuwa umri wako huu Mungu aliokupa ndio fursa yako ya kwanza. Ninakuombea asubuhi ya leo Mungu akupe neema ya kuitambua na kuitumia fursa hii kikamilifu. Mungu akubariki sana