Ila wanafunzi wa chuo ๐๐๐๐ฝ
Huyu nae kamchangamsha mlinzi๐๐ฝ
Mlinzi: bila kitamburisho hiwezi kuingia getini
Student: Hivyo ndivyo ulivyo izui elimu isiingie kichwani kwako.
Mlinzi: ๐ข๐ข๐ข
Kuna umri ukifika utagundua Baba yako alikuwa sahihi karibia kwenye kila kitu na mengi uliyoambiwa kuhusu yeye ama kuhisi kuhusu Yeye hayakuwa sahihi, kuna umri ukifika unamwelewa Baba yako na unatamani umwombe radhi, Wanaume tunaelewa.
1. CDM imeruhusiwa kufanya siasa
2. TAL atatoka soon!!
3. Then watakaa mezani
4. Tume ya J.Chande itakabidhi report.
5. Report itakuwa iko balanced,
Itaipiga gavoo kimtindo(Kwa mbali)
6. Mchakato wa katiba mpya utatangazwa kuanza rasmi!!
Lengo kuu ni ๐๐ป
Letโs buy time till 2030!!
Miaka mitano ni mingi sana lazima tuwe na activities za kuwaonyesha matumaini hawa raia hadi tufike 2030!!
Sasa unajua mchawi ni nani?
Mchawi ni ile namba 3 pale juu ๐
Pale kwenye kukaa mezani pale
ndio panaenda either
kusupport au kuvuruga hii plan!!
Jana usiku wa manane, simu yangu iliita
Simu ilitoka kwa mdada ambaye hatukuwa tumewasiliana toka 2018
Sikuwa najisikia kupokea hasa kwa kuzingatia usingizi mzito uliokuwa unanizonga.
Lakini pale pale nikapokea ujumbe wa WhatsApp kutoka kwake nikalazimika kuufungua
Arsรจne Wenger with Strasbourg president Marc Keller watching the game last night.
Wenger was born in Strasbourg and also played for Strasbourg in the late 70s.
Mwaka 2024 niliacha Kazi bila kuwa na Direction yoyote ya kupata kazi nyingine.
Ukiona hapo ulipo sio sehemu sahihi kwako, ACHA.
MUNGU ni wa Watu WOTE.
Hivi Watanzania wanajua kwamba Ni nchi moja tu, inatenganisha kati ya Tanzania ๐น๐ฟ na South Africa ๐ฟ๐ฆ Ambayo ni Mozambique ๐ฒ๐ฟ.
Hivi Watanzania wanajua kwamba ni nchi nne hutenganisha Tanzania ๐น๐ฟ na Nigeria ๐ณ๐ฌ ambazo ni Congo DRC ๐จ๐ฉ, congo Brazaville๐จ๐ฌ, Gabon ๐ฌ๐ฆ na Cameroon ๐จ๐ฒ.