🇸🇳 Senegal’s players sent a powerful message about faith and priorities after choosing to attend Jumu’ah prayer despite security concerns caused by strong winds.
When asked why they left for prayer despite warnings, their response was clear: “Is there anything more important than prayer?”
They emphasized that success, fame, and even football come second to their religious obligations, stating that they would not abandon Jumu’ah even for a FIFA World Cup Final.
In a world where many sacrifice their values for worldly gains, this stands as a remarkable example of conviction, discipline, and devotion to faith.
Gas finished last night and the kids were craving shawarma, I was too. Hubby said to go out to get it for all of us with drinks for dinner, I punched my calculator to see how much it will cost for a family of 5.
I arrived at over 35k. 12kg gas now cost 24k, we would use it 4weeks at least. I chose gas over shawarma.
That is for a family where both partners work and earn decently. We couldn't even afford a basic treat without punching the calculator. Everything extra is now considered luxury
Now imagine the life of a child whose both parents are skilless, unemployed or earns meagerly.
I know many of you will come and ask if shawarma is food, no it's not but everyone deserves a treat once in a while.
We all know what we are doing but you people should fear Allah.
@EsirEid China wanafunzi wa chuo wanasheria kali . Mwisho saa 5 kuingia bwenini na wanacheck ukilala nje bila ruhusa ama sababu toka kwa class teacher huna chuo. Hawaendi clubs labda likizo wakiwa makwao. Nyie si mnataka demokrasia kaka endeleeni kuifurahia.😂😂
@EsirEid Digala,protection ya serikali mwisho ni six,huko kwingine ni labda kama unatengeneza katiba mpya ya kupangia watu wazima cha kufanya!! Zaidi ya hayo,swala la maadili ni la kwako wewe mzazi na mtoto wako! Wengine wanasoma vyuo wakiwa wanalea na familia zao nyumbani! Nawasilisha
@EsirEid@Mwinshehe07 Serikali inaingia vp? , mabinti wanajaribu kutengenezq maisha yao ambapo tamaa ndo zinawatuma wafanye vitu kama hivyo .. imagine mbn Wavelan wa chuo hakuna concern yoyote na wao huenda clubs
Miaka 20+ ni mtu mzima. Maadili wafundishwe nyumbani. Hiyo nayo ni ngumu unakuta mtoto kuanzia mpsingi anasoma boarding akirudi likizo wazazi wapo kazini muda wa kufundishwa maadili na wazazi haupo. Sasa miaka yote mzazi hujapata muda chuo wanautoa wapi kusimamia maadili ya mwanao?
@JumaMahuba@ayubu_madenge Mawazo yapi? Kwamba timu ya mpira imepitiliza na kukataa kurudi nchini kwao kisa wamepata fulsa zingine? Fulsa zipi hebu twambie.
@HecheJohn@VitusNkuna@EsirEid ‘historical cost’. Hii ina maana kuwa bei ya kuuza leo inaangalia gharama ya kununua mzigo unaofuata, siyo gharama ya mzigo uliopo. Kama utaendelea kuuza mafuta kwa bei ya zamani wakati gharama ya kuagiza mzigo mpya imepanda kwa kiasi kikubwa, basi mapato utakayopata hayatatosha
@Roma_Mkatoliki Changamoto ya kwanza inaanza kwa hizo brands.
Zinahire Influencers bila kujali audience na ubunifu wao , ndo maana baadae ROI inakua ngumu kupima.
Ubaya ni kuwa influencers nao wanawapa likes , comment na sio pesa halisi ya kile kilichowekwa
@JayUmeme@Iamfelixtz Hii ingefanyika Bongo mngekuja na Replies za kusema Lugi yetu bado sana mara ooh Refa anatoaje kadi na kusihika mkononi Ooh ile inatakiwa ikitolewa aonyeshwe mtu na sio kuishika vile,
Kiufupi kila wanachofanya wenzetu ni kizuri ila kinageuka kuwa kibaya kikifanywa Tz.