Silaha kubwa wanayoitegemea na kuitumia watawala ni hii sentesi
โWatanzania tumeshawazoea, watapiga tu kelele siku tatu, ya nne watasahau na kuendelea na maishaโ
Hiyo silaha wanaitumia kwenye kila uchafu wanaoufanyaโฆโฆ..
And yes, so far ina~work โ
Untill tutakapoamua kuwaonyesha tofauti.