KIOO KILITUFUNDISHA KUJIONA, LAKINI KIKATUSAHAULISHA KUJITAMBUA
Kuna hekima ambayo nature ilikuwa nayo kabla mwanadamu hajaanza kutengeneza vitu vya kumrahisishia maisha.
Kabla ya kioo kuwepo, mwanadamu hakuwa na uwezo wa kujitazama kila alipohitaji.
A BEAUTIFUL THREAD
Ulishawahi kusikia kitu kinaitwa Dark psychology?
Kama hujawahi, basi hii ndiyo nafasi yako ya kuelewa mchezo ambao watu wengi wanachezewa bila wao kujua.
Ni nini hiyo?
Inafanyaje kazi?
Na kwa nini matajiri na watu wenye influence huijua vizuri sana?
Thread/Uzi🧵⤵️
Mambo Yaliyozuwia Mafanikio Yangu Kimyakimya Bila Mimi Kujua
Nimekuja kugundua hili the hard way baada ya kujiona ninarudia makosa yale yale bila progress yoyote. You must learn or perish. Hapa duniani ni aidha ushinde au upigwe, hakuna sare.
Nilipoona sitoboi ndipo nikagundua kuwa kama sitabadilika nitatoboka. Na nikijionea huruma ntaishia kutia huruma.
Haya ndiyo mambo 12 niliyogundua kwenye maisha yangu mwenyewe jihadhari nayo sana.
Thread🧵⤵️
NATURE HAIJAWAHI KUWA MBALI NA ROHO.
Kabla watu hawajajenga majengo marefu, kabla ya kelele za miji, na kabla ya maisha kuwa ya haraka hivi, binadamu alikuwa karibu sana na nature. Alikuwa anaamka na jua, analala na giza, anasikiliza upepo, mvua, bahari, ndege.
A THREAD 🧵
JINSI YA KUJIBADILISHA KUWA BORA NA KUFANYA WATU WAKUOGOPE NA KUKUHESHIMU
Tumia Hizi Mbinu 11 Za Kivita Ambazo Huwezi Fundishwa Shuleni.
Zingatia Namba 5 Ni Muhimu Sana👊!!
Fungua (Coment) THREAD//UZI🧵👇🏾
Kiukweli.
Am not into classy ladies.
Hawa napenda niwaone nipite ivi.
Nitaishia kusema wanapenda hela siwawezi.
Bahati nzuri, MPANDA wa hivi hakuna.
Huko town ndio wamejazana.
Kiukweli nikiona mwanamke ana look safi na smart.
Huyo naacha aendelee na maisha yake.
I know kwa sasa mwanamke kama huyu.
Anataka
WiFi
Set ya mafuta ya ngozi
Kucha 10k au zaidi kwa wiki
Asuke poa
Ale vitu vya bei
Gym subscription ya mwezi
Outings
Vyakula vya kununua
Kazi hawataki hata kufua.
Hawa mimi heri nionekane sina hela which is true sina za kufanya hizo expenses nikatengeneza GENERATIONAL WEALTH.
Wanaowaangukiaga hao mara nyingi ni ma bishoo wana pesa kiasi ila hawaoni kazi kuzitoa na hawapigi hatua.
Au wale walishajipata katika age ya 35 hapo kupanda.
Hawa hawawezi kuwa wake.
Hawa ni viburudisho.
Tusio na pesa tunajua.
Either ajilete mwenyewe, awe msimbe au mke wa mtu asielidhika na kwake hivyo ka umalaya.
SANAA YA KUIBEBA FURAHA BILA KUIHARIBU.
Watu wengi wamejifunza kuhimili maumivu, lakini hawajajifunza kubaki ndani ya furaha. Inapokuja hali nzuri kama amani, upendo au mafanikio wanajikuta wanaanza kujiuliza maswali yasiyo na lazima.
A THREAD 🧵
NAMNA UNAVYOTAKIWA UI'TREAT PESA BASED ON LAW OF ATTRACTION.
Pesa si kitu cha nje tu bali ni uhusiano uliopo kati yako na namna unavyoifikiria. Kwenye Law of Attraction, pesa huja kulingana na hali yako ya ndani, sio tu juhudi zako za nje.
A Thread 🧵