Ukiangalia @TunduALissu kila anachokiongea analenga kuvuruga nchi, mtu mwenye kuchochea uvunjifu wa amani tu kwa nchi, Watanzania shitukeni tusikubali kurubuniwa.
Watanzania kipindi hiki cha uchaguzi chagueni kiongozi bora, @MagufuliJP amefanya vitu vinaonekana lakini @TunduALissu anaropoka vitu visivyo. Libya wanaumia hadi leo lissu hafai hata kidogo maana amelenga kuivuruga tanzania.
Sijawahi ona mwehu kama @TunduALissu anaongea hadi yeye mwenyewe hajui anaongea nini
Hatuwezi kuwa na raisi mwehu
Raisi wetu ni @MagufuliJP wana @ccm_tanzania wenzangu sisi wenyewe ndio tutafanya Jpm apate mitano tena.