Usimlilie sana shida zako binaadam mwenzako kwa kumtaka msaada hali kufkia kumkufuru mola wako bali mlilie mola wako ndie anae jua wapi pakukuelekeza na nani ni sahihi kua msaada kwako..✍🏽
Emmanuel Ntikazohera, le sorcier de Butanganzwa qui, selon le parquet, allait aider #Bunyoni à renverser les institutions.
Il avait déjà reçu une moto de Bunyoni, selon le parquet.
Sera-t-il enfin au procès de Bunyoni ? Quelle est sa relation avec le Président ? Énigme. #Burundi
#Zingatia waweza toka nyumbani umependeza kwa suti lako lizuri na gari lako maasha Allah..ila ukarudi nyumbani umekunjiwa kwenye shuka na huku ukibebwa umenyanyuliwa na wale usio ata wafahamu😔😢.
#Kifo mawaidha tosha kwa mwenye kutafakari.