Tumezaliwa nchi maskini, kuishi a decent life standard might take half a century.
So, along the way furahia maisha katika kipimo chako, panda boda, panda mabasi, dandia private, ishi uchumi wako,ili zikifika time za kudandia ndege ni halisi, sio za kuuza watu, za kuiba au dhulma.
Mtaani kuna bidhaa fake nyingi sana ukifanya mchezo zinakuletea matatizo ya kiafya
Kuna App inaitwa HAKIKI STEMPU, ipakue unakuwa ukinunua bidhaa una scan QR code iliyopo kwenye bidhaa husika inakwambia kabisa kitu OG au famba,