@shaffihdauda1 Kaka ligi zipo nyingi ata zanzibar kuna ligi wakacheze tutakutana nao kwenye muungano na mapinduzi sasa kama hawana imani na mamlaka watafute mamlaka huko
@fumbokhanJr Unajua historia ya mitume wako na koo zao ila ujui mababu wa5 nyuma ya babu yako afu unajiona mjanja na mfia dini ikiwa uhalisia wako huujui
@jackielawrencem Je Kabla ya hizi din kuja maisha ya mababu zenu yalikua vip je walikua wadhambi kuliko nyinyi wenye din za kigeni
Je walikua wanafanya ibada kupitia nn
Kwanini leo hii kijana ujui historia ya chimbuko la ukoo wako ila unajua koo za mitume wako? Na watakatifu weupe
@jackielawrencem Kwanini mnaopinga hoja za huyo jamaa amtupi historia ya kwenu hasa Tanzania kwa wahehe wagogo wasukuma kabla ya hizo din walifanya nn kuabudu ila nashangaa mtu unakuja kupinga kwa maelezo yalioandikwa ikiwa uhalisia pia uujui umejiuliza chimbuko lako hapa walifanya nn