@PapiiKhan98 Oyaaa daaah maria nimejoin info 2016 nimepanda nae gar kutoka town, nimekaa na jamaa yangu mwaka wa pili akamuona akaniambia huyu manzi kila mwaka huwa yupo hamalizagi, mpaka namaliza 4yrs 2020 bado yupo first year na juz kat mwaka hu naskia bado yupo first yr pale cive bado ๐๐
@Mk47_0g@EliabuDanford ๐๐๐๐ kwamba kutuponya hataki ama? Imani tu ndo inatuangusha, mfano kama unaamini huwez kupona hata uombewe vip au uombe vip huwez pona, sio kwamba ndo tufanye dhambi kwa makusud hapana ila kwake kila kitu kinawezekana. Kitu Mungu ambacho hawez ni kusema uongo tu.
@MsBrown_Tz Kauli kama hyo lazima tugombane, yan ukishaniambia hvyo lazima uniambie mda huohuo maana nina vitu vingi vya kufkiria, sio kukaa kufkiria siku nzima huyu ataenda kuniambia nn
@master_plan9 Atataka show kila siku na hutaweza hilo, atapata mda mwingi wa kukufuatilia na wewe una michepuko kibao, mwache afanye kaz ili na yeye aje amechoka