@Nyarsakwa_ Ukitaka house hunting rahisi ๐๐tafuta wifi technician anawork hiyo area unatarget wanakuwanga wameingia most apartments na wanaweza kwambia kwanza kilimani msee wa Savannah fiber anajua manyumba kama zote
@Nyarsakwa_ ๐๐Asikae Ngara ,landimawe ama Juja road hapo utakuwa umejipiga own goal heri ata umtafutie nyumba ngong road ama waiyaki way. kwanza ngara nyumba ni overpriced na hakuna maji na anaweza pigwa mangumi akichelewa nje usiku.
@BonnieMwangi16@Gitz__ 40 million is not even enough to cover a constituency using fiber internet ๐๐ fibre inameza pesa mbaya sana hao ya ni budget ya over 500m