Former Managing Editor: Mwananchi and Tanzania Daima dailies,
Secretary: Editors Forum 2009 - 2021
Best Journalist of the Year 2011
Trainer, Mentor & Consultant
@HamisKittumma Kisheria Mahakama ndo inaweza kumsafisha. Maana aliachiwa baada ya kukiri kujipatia zaidi ya Sh. Bilioni 300 kwa udanganyifu. Akalimwa faini ya Bilioni 26 na siku hiyohiyo akalipa Milioni 200. Leo polisi wanampa certificate ya kumsafisha..kazi ipo
Jeshi la Polisi limetoa hati (certificate) ya kusafisha (clear) tuhuma za uhalifu kwa mmiliki wa IPTL, Seth Harbinder. Juni 2021 Seth aliachiwa chini ya utaratibu wa Plea Bargaining, na kutakiwa kulipa Sh.biloini 26 na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. ๐ณ๐๐
Kutafuta elimu katika mazingira ya aina hii siyo rahisi. Mamlaka za nchi yetu zinapaswa kuweka mazingira sawa ya upatikanaji wa elimu kwa watoto wetu wote!!
KARDINALI Pengo afariki dunia: Askofu Mkuu Mstaafu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycap Kardinali Pengo,amefariki dunia usiku wa Saa 4, Februari 19, 2026 katika Hospitali ya Jakaya Kikwete, D'Salaam.
@BensonKinjofu@Chahali@freemanmbowetz FAM alishindwa uchaguzi. Wakati na baada ya uchaguzi mpaka sasa, CDM wameendelea kumrushia kila aina ya tusi; mchumia tumbo, dalali wa siasa, mlamba asali, msaliti nk...Mchafu wa kiwango hicho atawaambia nini malaika na wasafi walioko CHADEMA leo?
@KingPablotz Asichojua Trump ni nini? USAID ni shirika ambalo CIA hulitumie kutengeneza informers na mawakala wake dunia nzima au katika kila eneo wanakotoa msaada. Kwa hiyo, acha tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta รงhini.