watu walilalama, wale walioniuliza kwanini Watanzania wamewekeza Kenya, niliwauliza awali kampuni ilimilikiwa na Wafaransa sasa inamalikiwa na Mtanzania kwanini hamkulalama kumilikiwa na Wafaransa,” amesema Ruto.
#KutokaBungeni#Nttupdates
KAMPUNI 500 ZA WAKENYA ZAWEKEZA BILIONI 1.7 TANZANIA
Rais wa Kenya, Dkt. William Ruto, amesema Kampuni 500 za Kenya zimewekeza Dola za Marekani bilioni 1.7 nchini Tanzania.
Amesema uwekezaji huo umeongeza ajira za mamilioni ya watu na kukuza mapato makubwa kwa serikali.
“Kampuni kutoka Tanzania pia zimewekeza Kenya na niliwaambia Wakenya kwamba mwekezaji kutoka Tanzania ni mshirika wetu, wanatuletea pesa na tunatafuta muda mrefu kutafuta wawekezaji,” amesema Ruto na kuongeza zaidi kuwa;
“Nilimpa mpatia Mtanzania kiwanda cha uwekezaji kuna
Hayo yamesemwa leo Aprili 29.2026 Bungeni na Naibu Spika Mhe. Daniel Baran Sillo (MB), akitoa taarifa hiyo kwa Wabunge wa Tanzania kuhusu ujio wa ugeni wa Rais wa Jamhuri ya Kenya.
#Nttupdates
RAIS WA KENYA KULIHUTUBIA BUNGE LA TANZANIA
Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Wiliam Ruto, anatarajiwa kuja Tanzania na kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tarehe 5.5.2026 siku ya Jumanne Bungeni Jijini Dodoma.
katika kipindi chote tangu kuanzishwa kwa maonesho hayo miaka mitatu iliyopita.
Ameeleza kuwa maonesho hayo yamekuwa chachu ya kukuza taaluma na kutoa fursa kwa wahandisi kujifunza na kubadilishana uzoefu.
#NTTupdates.
ERB YAAPISHA MAMIA YA WAHANDISI TANGU KUANZISHWA MAONESHO YA WAKANDARASI.
Zaidi ya wahandisi 300 wameapishwa na Bodi ya Wahandisi (ERB) kwa kushirikiana na waandaaji wa maonesho ya Wakandaarasi, Mat Builders and Constructors Expo 2026, yanayoendelea mkoani Geita.
Hatua hiyo
inalenga kuimarisha taaluma ya uhandisi na kuhakikisha wataalamu wanazingatia viwango na maadili ya kazi zao.
Akizungumza na waandishi wa habari katika viwanja vya Dkt Samia Suluhu Hassan Bombambili, Manispaa ya Geita, Mhandisi Benard Mwata amesema kuwa wahandisi hao wameapishwa
WANANCHI WAHIMIZWA KUHUDHURIA MAONESHO YA WAKANDAARASI KUPATA HUDUMA YA MASAJI TIBA.
Wakazi wa mkoa wa Geita wameaswa kujitokeza kwa wingi kushiriki maonesho ya Wakandaarasi maarufu Malt Builders and Constructiors Expo 2026 yanayoendelea katika viwanja vya Dkt Samia Suluhu Hassan
kutembelea banda lao ili kunufaika na huduma ya masaji tiba inayotolewa kwa kutumia mitambo ya kisasa kutoka nchini Korea.
Aidha, Lema amesema kuwa masaji tiba hiyo husaidia katika kutibu na kupunguza maradhi mbalimbali, ikiwemo maumivu ya mgongo,
SERIKALI KUIMARISHA MADINI MKAKATI KUPANUA MASOKO DUNIANI
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amewasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Madini kwa mwaka wa fedha 2026/2027, yakilenga kuongeza manufaa yatokanayo na madini muhimu na madini mkakati kwa
ya madini mkakati ndani na nje ya nchi ili kuhakikisha yanatumika ipasavyo katika kukuza uchumi wa taifa.Amesema hatua hiyo itasaidia kufungua na kupanua masoko mbalimbali duniani, hivyo kuongeza thamani