Aliye wahi kuwa Mkurugenzi mkuu TAKUKURU,pia aliwahi kuwa Raisi wa TLS, kwasasa ni mjumbe wa Tume ya Raisi ya kuboresha taasisi za haki jinai.
Prof Edward Gamaya Hoseah amegusia kuhusu kutumbuliwa na Aliye kuwa Raisi wa awamu ya Tano #JPM.
Nimezungumza kwa njia ya simu na Makamu mwenyekiti wa Chadema kuhusu kurudi kundini kwa aliyewahi kuwa Katibu mkuu wa chama hicho Dk. Wilbraoad Slaa.
@tunduantiphaslissu
@chadematzofficial
Katibu wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Khamis Mbeto Khamis, amesema kero nyingi zilizokuwa zinaukabili muungano wa Tanganyika na Zanzibar, tayari zimetatuliwa.