Hapa duniani sijawahi ona Mazishi ya Kiongozi wa Taifa ambayo yanakuwa na Mambo mengi Kama haya ya Malkia au Mfalme wa Uingereza. Yani tangu anafariki mpaka Leo siku ya Kuzikwa kuna mambo Kama Milioni. Mchakato wote huu ni Somo kabisa la Shule.
Mwaka 2012,2013 mpaka 2015 Jeshi la Polisi Kinondoni walifanikiwa sana kuwathibiti kwa Mtindo wa Polisi Jamii,hata Mimi nilishiriki na nilikuwa Sehemu ya timu
Wakati wa RPC Kenyela,RCO Wambura (sasa IGP) na ACP Mambosasa alikuwa OCD Kimara na ACP Kiondo kutoka kanda Maalum
Kesho Jumanne tarehe 20/09/2022 saa tano kamili asubuhi Chama cha Demokrasia na Maendeleo @ChademaTz kitazungumza na watanzania kupitia mkutano na Waandishi wa Habari, Makao Makuu ya Chama Kinondoni kuelezea maamuzi ya kikao cha Kamati Kuu kilichoketi Septemba 17-18,2022
Marais pamoja na Viongozi wa juu wa Mataifa yaliyoalikwa kwenda kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II huko Uingereza leo, wamewekewa utaratibu wa kusafirishwa kwa njia ya Bus kuelekea Msibani na watarejeshwa walipofikia kwa njia hiyo hiyo. Kwenye Picha hii Rais Samia na Ruto wapo
"Tangazo, other leaders waliokuja kwa usafiri wa basi la Richmond mtakaa tenti lile paleeeee kwenye Jua kali, mtakula kwa kuitwa majina yenu na monitor William Ruto, tumeelewana?"
Tukubaliane na m-serikali Zitto Kabwe. Tumtake amueleze Samia kwamba, itakuwa vyema sana katika ziara za serikali sasa aanze kutumia usafiri wa basi. Basi moja libebe Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, mawaziri na wengine. Hii itasaidia kupunguza matumizi ya serikali. Itapendeza.
Hongera sana @SuluhuSamia kwa Kupata Siti nzuri ya dirishani
Sisi watu wa mbagala na Ubungo umetuwakilisha Vizuri sana ktk Kupigania na Kuwahi siti ya dirishani
Umetumia uzoevu vizuri wa Kugombea siti ktk daladala huku Dar es Salaam
Wakina Ruto wamezubaa tuh
Yes.!huu ni Mfano halisi wa Vijana wahalifu waitwao Panya road.
Ni vijana wa Umri kati ya Miaka 12 Mpaka 18
90% ni Wanafunzi watoro wa Shule za Kata zilizopo pembezoni mwa Dar es Salaam
Aina ya uhalifu ni kwa "Mob" makundi kama Mbwa mwitu wakiwa chini ya watano hawana Madhara
Kwa kuwa Makamu wa Rais ametupotosha, akazusha taharuki kwa wananchi kwamba tunakula samaki waliohifadhiwa kwa maji ya maiti, Makamu wa Rais mwenyewe au kiongozi wa juu yake, RAIS ajitokeze na kukanusha hiyo taarifa siyo Naibu Waziri. Wananchi bado tupo kwenye taharuki. Ndiyo!
Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Bi. Fatma Omar Latu pamoja na dereva wake kilichotokea tarehe 14 Septemba kwa ajali ya gari mkoani Mbeya. Mungu azilaze roho zao mahala pema Peponi. Amin.
@SuluhuSamia Unasikitishwa na vifo vya viongozi tu?
Mwanafunzi Chuo Kikuu Dar es Salaam, Maria Basso ameuawa kwa kukatwakatwa mapanga na Panya Road, pia watu kadhaa wamejeruiwa vibaya na kuporwa, tukio hili limetokea jana tarehe 14.9.2022 Kawe Mzimuni.
Nimepokea kwa masikitiko taarifa hii