Niliiogopa bangi baada ya kuona jirani yangu akicheza baada ya kusikia ule mlio wa generator. ..Nilivyoizima akauliza hiyo ngoma mbona kali nani kaimba hiyo? Kwa sababu alikuwa mbavu kidogo nikaogopa nikamjibu ni Yamaha kamshirikisha Petrol" 😜
#BangiSioUgali