Wapo watu wachache wenye ujasiri wa kukabiliana na matatizo yanayowakabili. Pia wana uwezo wa kuongoza wengine ili waweze kusonga mbele. Kuna watu wengine wachache wanaohitaji mtu wa kuwaongoza. Wengine wachache wanahitaji muda wa kufikiria, wengine wahitaji uwezo wa kufikiria tena upya, kabla hawajachukua hatua na kurekebisha mambo ili waweze kusonga mbele au hata kuruka juu zaidi... Somo hili linafundishwa na hawa Kuku. Ni picha ya kuvutia. Tujifunze kitu. Tuko tofauti! C&P
Kutenda uhalifu ni jambo moja, lakini kuficha uhalifu ni jambo jingine linalohitaji utulivu wa akili ya mhalifu.
Kwenye tukio hili hakukukuwa na utulivu.
Angalia tena picha ya panga vizuri..
Kuna dada mmoja kutoka mkoa fulani, anafanya biashara za catering services alinicheki Juni mwaka jana akipitia changamoto kubwa sana katika Biashara.
Yaaani Washindani ni wengi sana na wengi wanapeana kwa kufahamiana
NA HIVI NDIVYO TULIVYO SOLVE HADI KUPATA DILI MFULULU
👇🏾🧵
TO EVERY MAN IN HIS 30's I don't care either you're rich or just coming up, here are some basic things to do to upgrade your lifestyle and wellbeing
1. Always Wear Deodorant
SARATANI YA UTUMBO MPANA NA PURU ( COLORECTAL CANCER)
Hii ni aina ya saratani ambayo kesi zake zinaongezeka.
Kwa sasa tunapoteza hata vijana chini ya miaka 40.
Sababu ni nini?
Mbinu gani za kiafya tutumie kujilinda?
Elimu msingi kuhusu saratani hii (soma chini) 👇
Fare-thee-well Edward Ngoyai Lowassa. The life of a patriot has come to an end. My family and I deeply condole with Regina, Fred, the entire family, and fellow compatriots.Eternal rest grant unto him,O Lord,and let perpetual light shine upon him. May his soul rest in peace.Amen.
Muigizaji Van Diesel aliachana na mpenzi wake kwa miaka 3, lakini walipoachana, hakumtoa nje ya nyumba yake, aliogopa kwamba angeishi katika kiwango cha chini, hivyo alimuacha nyumba ya ndoa ambayo walikuwa wakiishi na yeye kwenda kuishi karibu naye kama jirani.
si hivyo tu, bali alitumiwa bili za kila wiki kwa ajili yake na binti yake, pamoja na kulipa bili zote za kila mwezi za mtandao, simu na umeme, na kukataa kabisa chombo chochote cha habari kuingilia au kuchapisha chochote kuhusu kutengana kwao.
Baada ya miaka 6 mwenzake(x wife) alipata ajali akiwa anarudi kutoka dukani na akapiga picha, taarifa zilipomfikia alisimamisha upigaji picha na kwenda hadi hospitali, akasimama pembeni yake na kumtolea damu yake. , alihitaji damu na mwenzake alipopata nafuu, walirudiana.
Nb;Jambo la msingi Ama tunaishi pamoja kwa upendo na mioyo safi na unyenyekevu, au tunatengana, lakini upendo na heshima hubaki kati yetu, na tunaweka kumbukumbu zetu za thamani pamoja na kuheshimiana bila kujali kitakachotokea ..
Ili kuelewa ni upendo gani wa kweli uko na dhabihu ya mwanadamu ndani yake."