"Wanyama hufa Binadamu hufariki ili kujitofautisha na wanyama Binadamu lazima aache Historia ambayo itakumbukwa Ndivyo alivyifanya Mzee wetu Mtei"Amesema Mwenyekiti wa Bavicha Taifa @AdvMahinyila kwenye Ibada ya kumuaga Babu yetu na Muasisi wa CHADEMA Hayati Edwin Mtei.
Viongozi wa Bavicha kutoka maeneo mbalimbali wakiwa Msibani kwa Muasisi wa CHADEMA Hayati Edwin Mtei,@JustineOctavian Mwenyekiti Bavicha Mkoa wa Geita,@AminielMbaga Mwenyekiti Mkoa wa Arusha, @SheilaMchamba Mwenyekiti Jimbo la Kigamboni, @NiceSumari91109 katibu Jimbo la Kibamba.
Ukidanganya wakati unaomba msamaha ni DHARAU. Njia Pekee ya kuwasaidia wasanii ambao hawajatambua umuhimu wa kusimama na jamii ni kuendelea kutowapa ushirikiano. Unfollow na tusinunue kazi zao. Hiyo inapaswa kuwa message yetu vijana ambao mwaka 2025 tumeumia vyakutosha. TUONGEZE.
@belindaPINDA01 Sawa Binti siku ya kikukuta utajua Kama ni mihemko au ni maumivu sio Kila tabasamu ni la furaha tunza ujumbe huu sikumoja utapitia Aya tunayopitia na utanielewa.
Tunamtangaza rasmi Mzee Butiku kuwa kati ya wazee wetu walioharibikia ukubwani.
Sisi hatuna cha kujadiliana na muuwaji aliyedhulumu uhai wa maelfu ya Watanzania.
Amepora utashi wetu. Na bado anatufokea na kutuchamba kama vijakazi wake.
Respectfully, retire, Mzee Butiku.