Maisha yamenifundisha rasmi kwamba mtu yeyote anaweza kubadilika, bila kujali historia au uhusiano uliokuwepo. Watu hubadilika kila wakati wanapokutana na watu wapya wanaowaona ni bora kuliko wewe. Hata hivyo, usijali na usiathirike na matendo yao. FANYA KAMA WANAVYOFANYA WAO.
GOOD MORNING β οΈ HAPPY MONDAY'S β οΈ
Wakati mwingine MUNGU anakuzuia kwa muda mpaka njia iwe salama na safi ili uendelee na safari yako. Usiwe na haraka kuwa mpole Huenda kile kilicho upande wa pili kikawa hatari kwako
Kama wewe ni kijana wa miaka 20 hadi 40 na unataka kuona mabadiliko na mafanikio ya kweli mwaka huu wa 2026, huu ni ujumbe wangu kwako.
Nimejifunza mambo haya kwa vitendo, na nataka nikupe ukweli ambao ukishika, hutabaki pale ulipo.
Usijishauri mara mbili kufanya haya mambo 12 kuanzia sasa hivi:π§΅