Makatibu wa Mikoa ni Watendaji wa shughuli za kila siku za Chama kwenye ngazi za mikoa. Ni kiungo cha kiutendaji baina ya Taifa na ngazi za chini. Chama kimechukua jukumu la kuwanoa uelewa na ufahamu wao wa Chama, wajibu na majukumu yao.
Hii ni @ACTwazalendo#TheFutureIsPurple
#HABARI Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa, amekemea tabia ya baadhi ya viongozi wa serikali kujikweza na kunyanyua mabega kiutawala na kuacha kuwasaidia wananchi ambao ndio waajiri wao katika huduma mbalimbali.
Bingwa wa Dunia 🇫🇷 out. Bingwa wa Europe 🇵🇹 out. Finalist wa Dunia 🇭🇷 out. Finalists wote wa Euro 2016 out. All semi finalists wa Euro 2016 out 🇩🇪 🏴 🇵🇹 🇫🇷
Tuko Vyama tofauti. Lakini ni Rafiki. Ni ndugu. Ni mshkaji. Nionyeshe Rafiki yako 1, nitakuonyesha @JMakamba 10 Jamaa zangu yaani. Asante sana January. Huu ndio Uongozi