@masoudkipanya Habari? Nikupongeze kwa ujenzi wa nyumba yako, lakini nikukumbushe kuwa ili nyumba yako iwe bora hakikisha umempata fundi bora wa UMEME, sasa fundi nipo hapa kwa ajili yako ndugu yangu, kuanzia designing hadi finishing we nitafute tuyajenge tu๐
Call/WhatsApp 0714361234
Karibu๐ค
Nipende kukushukuru kaka @EsirEid#TajiriLaKihaya kwa kuweza kuniamini, hakika na mimi nimeitendea haki kazi yako, Mungu akubariki sana aisee๐คฒ
Hata wewe unaweza kunicheki ili nikufungie mifumo bora ya umeme na nyumba yako ikapate kuwa nzuri zaidi๐
Call/Whatsapp 0714361234
Mwaka 2030 kampuni yangu itazalisha AIoT-TV aina ya SAJOTRONIC na kuziweka sokoni, ambapo kiwanda hiki kitakuwa hapa hapa Tanzania
TV hii itakuwa na FITURES zifuatazo:-
1. Teknolojia ya Quantum Dot
2. Resolution ya 8K
3. AI Powered Display
4. Immersive Experience (Mixed Reality-MR, Augmented Reality-AR, Virtual Reality-VR)
CONNECTIVITY:-
๐Wi-Fi 6 (802.11ax)
๐ HDMI 2.1, ambayo inasaidia maudhui ya 8K na 120Hz refresh rate.
๐ Bluetooth 5.2
๐ USB-C na Thunderbolt Ports
๐ Internet of Things (IoT) Integration
๐ Voice Assistants Integration
๐ Streaming Services na Cloud Gaming
SIFA ZAKE:-
โ Teknolojia ya Quantum Dot inalenga kutoa ubora wa picha wenye rangi bora, weusi halisi, mwangaza wa hali ya juu, na matumizi madogo ya umeme.
โ 8K Display, screen ZINAZOKUNJIKA au modular displays zitakuwa ni screen ambazo zinaweza kubebeka kirahisi sana. 8K ina Resolution ya 7680x4320 pixels, ambayo ni mara nne ya 4K na mara kumi na sita ya HD. Hii inamaanisha picha zinaonekana kwa deep details.
โ AI-powered displays, ambapo skrini zinaweza kujirekebisha kulingana na maudhui au mazingira ya kutazamwa na watu. Kama content haifai kwa watoto, endapo mtoto akiwepo, haitoweza kuonesha na akiondoka inawaka.
โ immersive experiences. ambapo TV itakuwa kitu zaidi ya kuangalia video, na badala yake kuwa kitu kinachowezesha interaction zaidi na digital contents.
TEKNOLOJIA YA MFUMO WA SAUTI:-
1. 3D SOUND (Three-Dimensional Sound): Hii itatoa experience ya sauti ya pande zote (surround sound) ambapo sauti inaweza kusikika kama inatoka katika maeneo tofauti, mfano juu, chini, au pembeni. Hii itakuwa tamu sana kutazama, hasa kwa filamu na michezo ya video.
2. ONJECT TRACKING SOUND (OTS), ambazo zinahakikisha sauti inafuata mwendo wa kitu kwenye TV. Kwa mfano, kama mpira unaruka kutoka kona moja ya skrini kwenda nyingine, sauti itafuata mwendo huo ili kuongeza uhalisia.
3. ACAUSTIC SURFACE AUDIO+ TECHNOLOGY- Inaruhusu sauti kutoka moja kwa moja kutoka kwenye skrini badala ya spika za kawaida. Hii inafanya sauti iwe na uwiano mzuri na picha, ikiongeza uhalisia wa kile unachokiona.
4. ARTIFICIAL INTELLIGENCE (AI) ili kuboresha sauti. AI itaweza kuchanganua maudhui yanayoonyeshwa na mazingira ya chumba ili kuboresha sauti ki-automatic kulingana na kile kinachoendelea (mfano, kuongeza sauti ya mazungumzo kwenye filamu au kupunguza kelele za nyuma).
โโโโโโโโโโ-
TV hizi zitauzwa zaidi barani Africa na zitatoka kuanzi Inch 43โ hadi 100โ
Kijana mwenzangu, Una mpango gani kufikia mwaka 2030?